Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

Swala la shule inaitwaje , wilaya gani na mkoa gani haliendani na kichwa Cha habari Cha Uzi wako bwana Lukas.
Sasa je kwa hizi picha nilizoleta hapa kwa rangi za sare zilizopo kwenye picha ke, hizo shule ziko Tanzania au ni nchi za nje?!
Huyu Lucas Mwashambwa ni takataka kabisa
 
Mungu ndiye aliyekufundisha kusoma na kuandika? Mungu ndiye anakulipa mshahara? Mungu ndiye anakutibu Malaria? PUMBAVU!
Wewe kweli no mjinga, uwezo wa kufikiri ni mdogo mno,acha kumsifia binadamu kupita Mungu.

Tumia vizuri akili zako za kuvukia barabara, ubongo wa mende shida sana!! Kubwa jinga Popoma wewe!!
 
Wewe kweli no mjinga, uwezo wa kufikiri ni mdogo mno,acha kumsifia binadamu kupita Mungu.

Tumia vizuri akili zako za kuvukia barabara, ubongo wa mende shida sana!! Kubwa jinga Popoma wewe!!
Sasa kinachokuhangaisha na binadamu ni nini? Si ungelikuwa unaahuka na aya za kumsifia Mungu tu humu? Kwanini upambane na sisi tunaomsifia Mama Samia? Au wewe ni juha hujui ulitakalo?
 
Mimi siyo chawa dogo.
Posts zako zote ni uchawa mtupu, unajitoa ufahamu kuwa kama punguani asiye na ufahamu wa kutafiti hali halisi. The realities on the ground are terribly bad, where the hell do you get the nerves kusifia tu pasina kuchambua na ku-balance ukweli on whatever you're fvcking posting.
So hata ukane kwamba wewe si chawa posts zako zinaku-expose kwamba wewe ni chawa, action speaks louder than words.
 
Usitumie nguvu nyingi kuzungumza na mtu anayefanya makusudi kwa kujifanya chizi. Atakukera bure. Juzi juzi tu wabunge wamelalamika Tanroad haina pesa za kuwalipa makandarasi madaraja yamevunjika na barabara hazipitiki lakini mwehu mmoja anapayuka kama amemeza battery. Afanye utafiti sio vijijini, hata mjini tu aone vyoo vya shimo kwa shule kuanzia primary na secondary, ataona aibu. Shule Ina wanafunzi 1500 matundu ya choo 8. Na ni vyoo vya shimo. Maji wakati mwingine hayatoki.
 
Picha ilishafanyiwa Uhakiki na moderators mahiri wa JF na Jamiicheck
Iligundulika ni kweli sio ya watoto wa shule Tanzania.
 
Picha ilishafanyiwa Uhakiki na moderators mahiri wa JF na Jamiicheck
Iligundulika ni kweli sio ya watoto wa shule Tanzania.
Mnajitoa ufahamu kuukataa ukweli wa changamoto. Unafichaje matatizo. Kuibua kasoro ndiyo kuyatatua. Lakini kuyaficha au kuyafumbia macho ni kuwapuuza, kuwadharau na kuwadidimiza wananchi
 
Back
Top Bottom