Mamaa... hatari fire๐๐๐mlevi piere anachekesha natural tu bila kufosi.. joti nae anachekesha sana .. japo kama hayupo serius sana now days
mc pilipili anatumia nguvu sana ila bado hucheki...
kuna watu wengi sana walazimisha kuchekesha watu...
now days nikitaka kucheka namwangalia piere tu...
Mpaka Idris nae eti ni Comedian,duh bora hata ya RC wa Tabora MwanriMimi ni mpenda comedy sana hasa za nje. Awali nilikuwa nikizitazama hizi za Bongo za kina Kingwendu, Majuto n.k lakini sasa natazama za nje za kina Charlie Chaplin, Buster Keaton na wengine walio hai.
Ukitazama comedy ya MC Pilipili utagundua kuwa uropokaji ndio aliojaaliwa. Akina Kingwendu pia ndo walewale maneno mengi.
Comedy za bongo hovyo sana, wengi hawana vipaji na kazi zao hazina hata uwezo wa kushindana na soko la miaka hata 25 tu ya mbele.
Akina Tiny white, Erick, Kitale, Ringo hamna kitu.
Maufundi unakuja vizuri.
Hahahaaa futuhi huwa naiangalia kwa ajili tu ya Braza K. Jamaa huwa ananifurahisha sana.List yangu ni hii
Joti
mpoki
Maufundi
ringo
kipupwe
tiny white
Na braza k
Aisee Churchill wapo vizuri. Nilipokuwa Nairobi jumapili nilikuwa naihifadhi kuwaangalia. Sema wanazingualisaa lizima dk 20 ni matangazo. Hata kama ni ulafi wa pesa ule ni mkubwa.Wabongo stand up comedy bado sana, bora hata Cheka tu kidogo wanajitahidi ambako Deogratious na Nalimi nawaelewa sana, ila pilipili yule jamaa chenga sana kuchekesha ni ziro kabisa, ndo maana wajanja tunaangalia Churchill ya kenya kule Kuna jamaa anaitwa YY ni shidaa
The Kid niliipenda sana.Love filling umeiona ?
Kacheza Chaplin. Mjamaa maskini anampenda mtoto wa mfalme.
Jamaa anaweza
Kwa mbali naona brother K wa kundi la futuhi ndio anaweza kunichekesha [emoji23]
Mkuu Anko zumo ndo nani hapo...kama hayupo muongezew huyu jamaa huwa ananifanya siku yangu iende mbasharaList yangu ni hii
Joti
mpoki
Maufundi
ringo
kipupwe
tiny white
Na braza k
Mimi ni mpenda comedy sana hasa za nje. Awali nilikuwa nikizitazama hizi za Bongo za kina Kingwendu, Majuto n.k lakini sasa natazama za nje za kina Charlie Chaplin, Buster Keaton na wengine walio hai.
Ukitazama comedy ya MC Pilipili utagundua kuwa uropokaji ndio aliojaaliwa. Akina Kingwendu pia ndo walewale maneno mengi.
Comedy za bongo hovyo sana, wengi hawana vipaji na kazi zao hazina hata uwezo wa kushindana na soko la miaka hata 25 tu ya mbele.
Akina Tiny white, Erick, Kitale, Ringo hamna kitu.
Maufundi unakuja vizuri.
Mimi ni mpenda comedy sana hasa za nje. Awali nilikuwa nikizitazama hizi za Bongo za kina Kingwendu, Majuto n.k lakini sasa natazama za nje za kina Charlie Chaplin, Buster Keaton na wengine walio hai.
Ukitazama comedy ya MC Pilipili utagundua kuwa uropokaji ndio aliojaaliwa. Akina Kingwendu pia ndo walewale maneno mengi.
Comedy za bongo hovyo sana, wengi hawana vipaji na kazi zao hazina hata uwezo wa kushindana na soko la miaka hata 25 tu ya mbele.
Akina Tiny white, Erick, Kitale, Ringo hamna kitu.
Maufundi unakuja vizuri.
Joti yupo vizuri ila ananiboa tu akiigiza kama mwanamke shangingimlevi piere anachekesha natural tu bila kufosi.. joti nae anachekesha sana .. japo kama hayupo serius sana now days
mc pilipili anatumia nguvu sana ila bado hucheki...
kuna watu wengi sana walazimisha kuchekesha watu...
now days nikitaka kucheka namwangalia piere tu...
Toa mpokiList yangu ni hii
Joti
mpoki
Maufundi
ringo
kipupwe
tiny white
Na braza k