Tanzania hatuna wachekeshaji bali tuna waropokaji, wengi ni kinyaa kuwatazama

Tanzania hatuna wachekeshaji bali tuna waropokaji, wengi ni kinyaa kuwatazama

Niliwasahau kuwataja. Mizengwe noma, mtu 5 tu ndani ya dk kadhaa wanachekesha na kufikisha ujumbe murua
Mizengwe kwangu ni namba moja kwa vichekesho kwanza wanaigiza maisha harisi ya Tanzania, vichekesho vyao huku ukiwa una furaha na fundisho pia, kifupi nawakubali sanaa.
 
Kuna mtu mmoja anaitwa leon schuster huwezi kuongelea comedians bila kumtaja.ndie aliyecheza mr bones, ila yule ili umuelewe inakubidi ujue english pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masanja anajuwa sana tena sana sema wabongo atupendagi sifia vya kwetu.Alipewa mike siku moja ikulu ili awasemee wasanii raisi alicheka mpaka akatoa machozi. Pili Mr beneficial na mjeshi wale nao wapo vizuri kwakweli.
 
Ha ha ha ulowataja wotee wako motoo kasoro pilipili..,sema Nini tunatofautiana Sana ..kuna jamaa mmoja wanamwita mkude Simba..wengi wanamkubali ila Mimi huwa nashangaa cjawahi cheka afanyacho zaidi ya pumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema ukweli 100% ni kinyaa kuwaangalia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah heshimu basi kazi ya mtu angalau kdg. Hata kama unatoa critisizations zako tumia lugha ya kiungwana. Afu kama ww hakuchekeshi kumbuka kuna ambao anawachekesha ndo maana anaendelea na hio kazi, kama kungekua hakuna hata mmoja wanaemchekesha kwa nn basi wangeendelea.

Heshimu kazi ya mtu bwana
 
Hamna kitu hapo. Apewe tu ukweli. Na kisauti chake + ushamba!!
 
LIST YANGU NI
I/KAZOA
II/KIDUCHU WA MANENO KUMI
III/LAPHA WA CHALII YA NGALENALO
IV/MASAWE AU BABA SEDE
V/MR BENEFICIAL
 
waangalie vijana wa cheka tu, halafu rudi kusema sio wote ni wa hivyo.
Tanzania stand-up comedy bado sana, hamna kitu kabisa.

Ila naona Mpoki akiamua kuifanya ataweza sana. Nimeangalia hiyo Cheka tu yako naona watu wanajilazimisha tu kucheka.
Comedian wenyewe wanaishiwa maneno.

hakika mpoki yupo vizuri kwa stand up comedy tena bila kujipanga alimwambia manara yeye na manara wanatatizo la kubaguliwa rangi
 
Back
Top Bottom