Tanzania hatuna wachekeshaji bali tuna waropokaji, wengi ni kinyaa kuwatazama

Tanzania hatuna wachekeshaji bali tuna waropokaji, wengi ni kinyaa kuwatazama

Kweli kabisa Kiongozi Jamaa wale ni talented sana halafu ni wabunifu sana..wametuletea ladha mpya ya komedi tofauti na ile tuliyozoea (mf. Bambo, Kingwendu, kiwewe n.k).Comedians wengi bongo ni wapiga zumari tu hamna kitu.
Wanajua kuongea kwa sauti kubwa ndiyo uchekeshaji, wasanii wengi hakuna kitu wachukue clip za Champlin waone utofauti.

Jamaa haongei ila unacheka.
 
Wanajua kuongea kwa sauti kubwa ndiyo uchekeshaji, wasanii wengi hakuna kitu wachukue clip za Champlin waone utofauti.

Jamaa haongei ila unacheka.
Chaplin ni habari nyingine mkuu...yule jamaa bila shaka ni the world best comedian of all time. Wakati nipo mdogo nlikuwa najua jamaa ni chizi au ndivyo alivyo, kumbe ni sehemu tu ya kazi..he was a real comedian.
 
Jamaa ni mjinga sana yule, yaani hatakuja kutokea kama yeye.

Alipenda sana kazi yake.
 
Wabongo stand up comedy bado sana, bora hata Cheka tu kidogo wanajitahidi ambako Deogratious na Nalimi nawaelewa sana, ila pilipili yule jamaa chenga sana kuchekesha ni ziro kabisa, ndo maana wajanja tunaangalia Churchill ya kenya kule Kuna jamaa anaitwa YY ni shidaa
 
Kenya wamepiga sana hatua.
 
hUWEZI KUCHEKA KAMA UNA MAWAZOYAKO YANAKUSUMBUA..WACHEKESHAJI BONGO WAPO
Km ana mawazo yake hapo ndo wachekeshaji wanaingia mkuu, inabidi wajtahidi mpaka ayo mawazo yatoke kwa kucheka,
Imagine uko fresh umepiga dili lako halali uneingiza 100M kamwe hautaangalia vichekesho hata km anaperform baba mkwe,
Hv kazi yake ni kuondoa stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Love filling umeiona ?
Kacheza Chaplin. Mjamaa maskini anampenda mtoto wa mfalme.
Jamaa anaweza
Mc Pilipili kwanza yeye mwenyewe ni kichekesho tu yaani ukifikiria nachofanya unacheka. HAKUNA KITU.

MPOKI: Hakuna kitu huyu ni kuongea tu kama mvuvi haramu.

JOTI: Huyu kabaki kujigeuza tu jinsia.

MAJUTO: Ulale salama ila yeye alikuwa ni kucheka badala ya kuchekesha.

MR BEAN: Huyu kazi kukodoa tu.

Chalie Champlin: Pumzika kwa amani mfalme wa VICHEKESHO.
 
Baba ya wachekeshaji uchwara.
charlie-chaplin-in-shanghai3.jpeg
 
Jamaa akili kubwa kiasi kile sijui kaitoa wapi.
Jamaa kazi zake zitadumu sana

Back
Top Bottom