Tanzania hatuna wachekeshaji bali tuna waropokaji, wengi ni kinyaa kuwatazama

Tanzania hatuna wachekeshaji bali tuna waropokaji, wengi ni kinyaa kuwatazama

Hahahaha aisee jamaa ni kituko mwanzo mwisho[emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki kuamini kuwa hiyo suruali yake haijakushughulisha. This guy is so funny[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyo kiumbe ukimwona tu bila kufanya mambo yake utaanza tu kucheka.
 
Ila bahati nzuri na nina uhakika hao uliowataja hapa akina MC Pilipili na Kingwendu ( pamoja na kutowakubali na kuwapuuza Kwako ) kuna uwezekano hata wakawa wanakuzidi Kimapato / Kiuchumi au hata mkawa sawa vile vile. Kikubwa kama hicho wanachokifanya kinawafanya njia zao za Kwenda Msalani / Chooni zisiote Nyasi basi sijaona tatizo lolote hapo sana sana naona tu ' Kisununu ' chako Kwao.
 
List yangu ni hii
Joti
mpoki
Maufundi
ringo
kipupwe
tiny white
Na braza k
Nakubali... Tiny white, kipupwe, Ringo, Joti,maufundi..nmemaliza
Kuna Yule dada wa insta (nmesahau adi jina lake na ebitoke Yaan sijawai kuwaelewa
 
Mmmmmmmmmh ahaaaaaaaaah maufundi come on guy, empty bottle

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Comedian wazuri bongo ni-:Masanja Mkandamizaji,Mpoki,Idris Sultani,Adam Mchomvu,Emphraim Kibonde R.I.P,Mr Beneficial,Katarina wa Karatu,Oka Martin.
 
Mc pilipili haujawai kuchekesha zaidi ya kujichekedha mwenyewe na bossi wake wa zamani evance bukuku ndio mzigo kabisa,waliwai kwenda Kenya wakaaibisha nchi.
Kibongo bongo Beneficial anajaribu east Africa Eric he is the best
 
Wengi mna wivu na Mc Pilipili coz ana demu mkali, BMW. Kuhusu Masanja wacha aendelee kulima mpunga huko ndo kunamfaa
 
Pilipili si ndio yule alikuwa analia mbele ya demu?

Kama ndiye basi anachekesha, maana nilicheka sana kile kitendo, na hata leo nikiangalia nacheka.
 
Pilipili ninachoona kazi yake ni kutusi watu na kujisifia kuwa ana PRADO basi. Deogratius namkubali sana. Wenzetu wa Kenya wapo mbali sana. Uganda yupo mmoja anaitwa Salvador huyo ni mkali sana.
Hapo kwa Uganda ongezea Anne Kansiime
 
  • Thanks
Reactions: mij
Back
Top Bottom