othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Kweli...mzigo ungekuja direct lingekuwa balaa jingine.Yani ndio mchezo unakua hivyo vitengo vyote duniani vina kitengo cha information and disinformation.... yaani taarifa halisi na uzushi
Na hata jamaa amewapunguzia mzigo idarani kwenye kukipokea kifo cha jiwe imagine kingetangazwa kama suprise ingekuaje?
Kama walishindwa kwa kipindi chote sidhani kama watatoboa...ila wakikomaa mambo yataendaTwitter for iPhone , Twitter for iPad, Twitter for Mac siku hizi ile Android siioni tena huenda ikarudi naamimi wanaopambana nae wameacha kumundermine uwezo wake kama mwanzo huenda wakichanga karata vyema wanaweza kumjua siku za usoni....
Tatizo lilianzia pale ambapo hao kitengo walianza kuchukua watu kutoka katika chama na siyo kuwa na mfumo wao unaojitegemea katika kuajiri..
Wakiweza kusafisha hilo basi wamefanikiwa.
Una akili kuliko waliotengeneza JF wakataka tukipenda tutumie fake ID. Hongera.Sasa wewe kwa nini usiweke ushauri wako - ungekuwa yakinifu hata ID yako isingekuwa ya uficho "ni ishara ya utayari wa uhalifu".
nimeipenda kauli yako. kwamba technology and patriotism lazima viende sambamba.Umesema kweli sana!
Lakini bado wapo kina Edward Joseph Snowden wengi tu na wengine are still in the making!
Technology and patriotism vinatakiwa viende Sawa kama pipa na mfuniko wake!
nimeipenda kauli yako. kwamba technology and patriotism lazima viende sambamba.
uko so so right.
but tufanye nn kufika hapo? kuna haja ya kuifumua taasis na kuisuka upya?
Issue ni kuwa na idara maalum na mkurugenzi wake maalum ambae ni top kwenye kila kona ya masuala ya teknolojia.
Bila hivyo si TISS, TRA, na idara zingine za serikali zina mifumo ya computer duni sana.
Teknolojia inabadilika kila masaa 48.
Idara ya ujajusi ya nchi yapaswa kuwa juu ya nchi mithili ya ndege aina Tai.
Tai akiwa angani aweza kuona kipanya kidogo sehemu isiofikika na akakifikia kwa speed ya ajabu sana kukikamata.
Hawajawekeza kwenye teknolojia na vijana welevu kwenye masuala hayo.
Eti hata Musiba nae alikujaingia TISS.
Yote aliyaleta Marehemu akidhani anaimarisha 'kujilinda' dhidi ya 'maadui' aliyokuwa anawatengeneza kila uchao.
Inabidi tuwekeze sana kwenye teknolojia,nasisitiza tena tuwekeze kwenye teknolojia na tuanze kuwaandaa vijana wetu wenye 13yrs kwenye izi issue za tech toafauti na hapo kuna siku zitavuja taarifa ambazo zitazua taharuki hadi madhabahuni
Ndio maana niseme watu wajiulize chanzo kikubwa cha huo uzalendo kushuka ni nini?
Sio wote waliopo hata katika huo mfumo walikua wakifurahishwa na yaliyokua yakiendelea...
Itakua wewe ni mgeni kumfuatilia huyo jamaa nikuambie tu hayupo Tanzania! Nikuongeze asilimia za uhakika kua 100% ila anapenyezewa taarifa
So ili kubalance mzani kuwa kuna muda anapewa tango pori na analipost na kusimamia bila kufuta
Na kuna muda anapenyezewa mzigo halisi!
Nikuambie tu kwanini hata matango pori huwa anapost? Sababu kuu ni kucheza pia na wafuata nyayo yani kuwapoteza wanaomfuatilia kujua taarifa zatokea wapi...
Note: 2019 huyu jamaa alitoa taarifa kuwa kuna boss mkubwa huko jikoni atang'olewa na kweli baadaye aliyekua DGIS Mr Modestus alibadilishwa! So jifunze kumsoma huyu mtu katikati ya mistari sio rahisi sana kumpata maana ni mtu smart sana kwa nilivyogundua
Nilitaka nami Kuchangia Ndugu ila kwa haya Madini yako machache tu ya maana Umemaliza kila Kitu, Heko sana na sitakiwi tena Kuongeza niliyokuwa nayo.TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.
zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.
na huu ni mwanzo.tu.
Mfumo watu wame resist mfumo waliokuwa wanautumikia kwa kuvujisha kila taarifa!
Mahela pia, kama watu wana njaa tusitegemee uzalendo wa kutunza siri, zitauzwa nje nje!
Hata wakitoa makamera na kufukuza watumishi wote, kama watakuwa na mfumo usiofurahiwa na wengi, mishahara ya ovyo, na kuajiri makada wa chama, tutegemee yale yale!
Sasa hivi hata nchi za Africa tulizozikomboa zinajiuliza kama zingechelewa kupata uhuru kama tungeweza kuwa wakombozi kweli??
Tupo uchi, tupo wazi, sad!
Everyday is Saturday............................... 😎