Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
unadhani haqaja consider hili suala. probably wana vlan yao kama wao. ila sasa ni issue ya security.Nimekuelewa kabisa, kwamba:
1. Watengeneze VLAN yao peke yao Tanzania nzima
2. Watumie encryption---data zao zote ziwe zinakuwa routed zikiwa encrypted
3. Watumie PUK codes kuhakikisha simu-card zao ziko locked
Kwa hali ya namna hii. anayeweza ku-leakisha taarifa uwezekano mkubwa ni yule ambaye ni mmoja wao, kwa yule wa nje inakuwa SIYO KAZI RAHISI SANA, japo inawezekana pia
kuna kitu kinaitwa social engineering. kinatumika sana na black hat guys.
always kuna mtu lazima atakuwa na acces na hiyo vpn. na watapitia hapo hapo. with or without his knowledge.
maybe itapunguza but haitotokomeza