Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii sijui nani wakumwamini maana picha imenifanya kushindwa kulalaHata na mm nimehisi ni walizi pale camera inapoonyesha sura mara bili yaan alifika mwisho akageuza
Mimi niko 31 old, ila honestly sijazoea kabisa kuona maiti. Jana nimejitahidi kujisahaulisha ili nilale.Nchi hii sijui nani wakumwamini maana picha imenifanya kushindwa kulala
Yani mpaka sasa naogopa I Wonder wanawake walioenda na watoto wadogo.Mimi niko 31 old, ila honestly sijazoea kabisa kuona maiti. Jana nimejitahidi kujisahaulisha ili nilale.
Sema wewe nae kiherehere, kilichokufanya utake kuiona hiyo picha/ video ni nini !?🤣🤣🤣Yani mpaka sasa naogopa I Wonder wanawake walioenda na watoto wadogo.
Wataaalamu wa Tanzania wanaaanza uchambuzi wao, kila Mishe wanaijua wao hahahaha haha hahaha hahahanikurekebishe hapo. huwezi run heavy operation kama hiyo bila usalama wa taifa.
CIA walihusishwa, navy seals special operators.. pamoja na 106th special aviation squad.
though operation ilikuwa ya CIA.. navy seals wakiwa ni tactical team ya kuekeleza mission.
so ni joint opp. japo mission kama hii ilikuwa ya siri sana that watu wachache walijua. ila si wawili.
Obama, tena ikikaribia uchaguzi wa duru ya awamu ya pili.Osama kwan alipatikana utawala wa Obama? Nahisi kusahau
Kwamba kwa mapungufu aliyokuwa nayo hata watu ndani ya system na CCM walimchoka ndipo siri zikaanza kuvujishwa, ni dalili za kumpingaUkweli ni upi mkuu?
Yaani JPM aliombee taifa hili akiwa wapi? Kuzimu au akiwa anawaongoza malaika? Mapungufu makubwa na chuki zake dhidi ya wanaotofautiana nae kimtazamo ndio zimesababisha Ufa mkubwa, aendelee kuwachapa risasi wanaomkosoaHata mimi nimeshangaa sana kuona taarifa nyeti kama hizo ambazo zinamhusu Mkuu wa Nchi zinazagaa mitaani?
Bila shaka kuna umuhimu wa kufanya uchunguzi ili kuona ni nani anahusika zaidi na utoaji wa siri.
Hapo inahitaji akili sana kubaini watu wanaovujisha siri.
Tunaweza tukadhani tumefichama kumbe tupo eneo la wazi kabisa kiasi kwamba kila mtu anatuona. Hii ni hatari sana.
Mwisho, Namshukuru Mungu mwenye nguvu kwa kutuletea CHUMA, SHUJAA, MSHINDI, MZALENDO WA AFRIKA, JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
Ametufundisha mengi, mengi, mengi sana. Kwa pamoja tukiyafuata na kuyaishi kwa vitendo, tutashinda.
JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, uliombee Taifa hili liweze kushinda mitihani yote. Amina.
Yaan mm nilivyo muaminifu mpaka nikawaza ningepata nafasi ya kumlinda magu angefurahi. Nimeamini kikulacho ki nguoni mwako.Nchi hii sijui nani wakumwamini maana picha imenifanya kushindwa kulala
Amekuvuruga kwa kusema kweli? Au wewe reliable source of information ni RC wa Mbeya Chalamila?Umeanza Kutuvuruga
😂😁😀😅😄😃😂Amekuvuruga kwa kusema kweli? Au wewe reliable source of information ni RC wa Mbeya Chalamila?
Siyo reliable? Anasakwa na mfumo, anaweza akawa siyo 100% lakini akawa 95% ambayo ni bora kuliko Majaliwa, Chalamila, balozi wa Tanzania Namibia, Mwigulu na kurugenzi ya mawasiliano ya ikuluHii information source sio reliable 100% tena
Nilutumiwa video naona wajeda sikujua what's inside aisee,si ndo nakuta msure aisee, nilishtuka mnoSema wewe nae kiherehere, kilichokufanya utake kuiona hiyo picha/ video ni nini !?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mimi pia