Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Tecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.

TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.

Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.

Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
Kama una hiyo video nipasie au kama uliiona mahari nipe link
 
Hao waliofichua yanayojiri huko ''Jumba Jeupe'' sio maadui bali ni wasamaria wema.Hata vitu vya msingi,ambayo kwa mujibu wa Katiba ya JMT,inaruhusu wananchi wafahamishwe,ninyi mnaficha!
 
Tecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.

TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.

Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.

Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
Ile picha imepigwa kwa kutumia simu .
Nimeona kuna kivuli cha simu.
Binadam wote hatuko sawa.
Kuna watu wamejaliwa uwezo wa kufanya jambo mchana kweupe bila kuonekana.
Na kuna watu wanaweza kupenya na kuingia kokote bila kuonekana.
Kuna watu walipata maono na ndoto za watu wazito kuanguka na kufa kabla hata ya kifo cha maalim Seifu Hamadi.

So ulimwengu wa zama hizi ni ulimwengu wa Sayansi na Teknolojia ya juu sana lakini pia ni ulimwengu wa kinabii ,yaani ulimwengu wenye wawakilishi ya Ufalme wa Nuru na pia ufalme wa giza.

Ukitaka jambo lako lisijulikane basi liwe ni jambo Jema.
Jambo baya hata likifanywa gizani kitawekwa hadharani.

Tubuni na kuacha madhambi maana Ufalme wa Kristo unakaribia sana.
 
Makada, inatakiwe kiwe chombo huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono wazo lako mkuu. Ndani ya chama wote hamuwezi kuwa kitu kimoja, ni lazima kutakuwa na makundi yenye mitazamo tofauti. Hivyo unapoamua kutumia makada kama combo cha usalama ni lazima wengine wawe watiifu kwa makundi fulani ndani ya chama au nje ya chama ambayo hataki sambamba na wewe. Chukulia mfano Membe alivyotoka CCM alfu ukute kuna makada ndani ya TISS ambao walikuwa wanakuelewa ni lazima taarifa zivuje tu[emoji3525].

Njia pekee ya kulitatua hilo ni kukubali kuivunja system yote ya usalama ile iliyopo karibu na Rais (ikulu),Kisha uundaji wake uzingatie weledi na sio ukada. Vinginevyo SAMIA ataongoza hii nchi akiwa kwenye pressure kubwa sana.
 
Kuyajaza ma uvccm ndio kulikoleta hali hiyo wacha wavune walichopanda . Halafu kuna yale yaliyokuwa yanamlinda toka kwa Kagame vp bado yapo ?
Nimegundua humu Jf kuna watu mnajitahidi kujadili msaada ambazo pengine zimepita uwezo wenu wa kufikiria.TISS ni kubwa sana tofauti na mnavyofikiria. TISS ni dubwasha moja lenye mgawanyiko mkubwa ndani yake. Ndani ya TISS kuna kitengo kinaitwa PSU (Presidential Security Unit) ambao hao uliowataja kwa kuwaita wanyarwanda ni miongoni mwao, na upatikanaji wao ni tofauti kabisa na mnavyofikiria.
 
Ni kweli aisee kama huyu kenge kazipata wapi habari za kuwa rais kavutankama sio hao hao tiss!?
Hao watu waliokuwa wanamtibu raisi wengine nasikia walikuwa wanatoka MNH nao walikuwa ni tiss ,kwa nini tusiamini hao manes na dr walivujisha siri hizo
 
Kweli kabisa, inaonekana kuna moles Ikulu wanao vujisha siri za Serikali kwa media na watu ambao hawa husiki.

Nakumbuka vizuri kwenye miaka ya 70s Mwalimu Nyerere alifanya mageuzi makubwa kwenye taasisi ya usalama wa Taifa kwa kuwatimua kazi ghafla maafisa wengi wa usalama wa Taifa na ku-recruite wengine wapya - mjomba wangu alikuwa mmoja wa victim wa zoezi hilo, nilimkuta nyumbani kama mtu aliye nyeshewa mvua ya mawe - hakuamini kilicho msibu.

Sasa na Rais Suluhu Hassan kuna umuhimu wa kuifanyia reshuffle kubwa taasisi hii nyeti na kuijenga upya kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
 
Zingatia mitembeo ya huyo aliekuwa anarecord, video inaoneka kabisa kufata movement za kichwa chake,Alipokuwa anatembea kuelekea kwenye jeneza camera ilikuwa inachukua ground position huku ikigeuka kulia na kushoto kulingana na movement za shingo yake, ndomaana alipofikia jeneza alipoinama kama ishara ya kuangalia mwili camera ilichukua, lakini pia alipopita aligeuza shingo nyuma tena na kamera ikaendelea kurecord, ingekuwa ni simu asingeweza ku capture sura ya Hayati bila kujulikana.

Probably jamaa alikuwa na camera chip kwenye miwani yake,au kofia kama alikuwa nayo.
 
Zamani walinzi walikuwa hawatoki kambini siku hizi wamepanga mitaani ovyo ovyo na wananyumba nyingi.
 
TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.

zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.

na huu ni mwanzo.tu.
Jamani hivi kwa nini taasisi nyeti namna hii itumike kisiasa? sikatai huenda wanasiasa nao wakawa miongoni mwao lakini siyo sahihi mtu aliyeibuka from nowhere na kuanza kujihusisha na siasa za majitaka zinazokihusisha chama kikongwe na vyama vingine labda kutokana na hulka yake ya kuongea kwa sauti kubwa na kutukana wapinzani wake wa kisiasa matusi makubwa na kutoa vitisho ndo iwe sifa kuu ya kuwa TISS....haiwezekani taasisi inayohitaji watu makini wenye weledi wa hali ya juu ianze kunajisiwa na wanasiasa na kuendeshwa kwa mihemuko ya kisiasa..
 
1. Kama hakutakuwa na kutenganishwa kwa muingiliano wa moja kwa moja baina ya serikali (viongozi wa kisiasa) na TISS... Basi tusitegemee mabadiliko katika hilo...
2. Kama kutaendelea kuajiri watu wa kitengo kwa kuangalia chama na undugu... Basi tusitegemee mabadiliko katika hilo
3. Kama hakutokuwa na uundwaji mpya wa kitengo kwa ujumla... Basi tusitegemee mabadiliko katika hilo...
UZALENDO UANZE HAPA KATIKA KUHAKIKISHA TUNAIRUDISHA TISS ILIYO BORA ZAIDI.
wakifanyia kazi hii idea. hili shirika litabadilika. na waliunde in such a way wanasiasa hawataweza kuingilia kazi zake
 
Kweli kabisa, inaonekana kuna moles Ikulu wanao vujisha siri za Serikali kwa media na watu ambao hawa husiki.

Nakumbuka vizuri kwenye miaka ya 70s Mwalimu Nyerere alifanya mageuzi makubwa kwenye taasisi ya usalama wa Taifa kwa kuwatimua kazi ghafla maafisa wengi wa usalama wa Taifa na ku-recruite wengine wapya - mjomba wangu alikuwa mmoja wa victim wa zoezi hilo, nilimkuta nyumbani kama mtu aliye nyeshewa mvua ya mawe - hakuamini kilicho msibu.

Sasa na Rais Suluhu Hassan kuna umuhimu wa kuifanyia reshuffle kubwa taasisi hii nyeti na kuijenga upya kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
wafanye haraka before its too late. maana hii taasisi inapelekwa kisiasa.
 
Inaweza kuwa hakutumia smart phone maana quality yake hyo video, it's like katumia maybe camera za saa au mawani na anaweza kuwa mmoja hata ya hao walinzi raia wakawaida ni ngumu kurecord
Hata na mm nimehisi ni walizi pale camera inapoonyesha sura mara bili yaan alifika mwisho akageuza
 
TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.

zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.

na huu ni mwanzo.tu.
Wengi ni uvccm na wasukuma wameingizwa kwa wingi ktk utawala wa dikteta JPM
 
Wengi ni uvccm na wasukuma wameingizwa kwa wingi ktk utawala wa dikteta JPM
and why siri zimeonekana kuvuja sana awamu hii? awamu zingine mbona haya mambo hayakuwepo?
awam hii imelivuruga hili shirika japo kuwa kina mema walifanya.
 
Back
Top Bottom