nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ukweli ni upi mkuu?Unajitahidi kutoona kweli, itakuwa unaamini Jiwe ameenda kuwa mkuu wa Malaika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni upi mkuu?Unajitahidi kutoona kweli, itakuwa unaamini Jiwe ameenda kuwa mkuu wa Malaika
ndo maana tunawaambia ccm ilishakufa toka 2015 ilibaki ya magu sasa naye kaenda,tarajia makubwa nyani watakavyopararuana wakigombania punje zilizobakiMwamba ameongelea ethics za TIS za sasa zimebadilika sana??, Yaani mtu yupo ubelgiji ndo anatoa taarifa za mjomba?? Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kundi la watu hapo TIS ndo wamempa taarifa huyo jamaa wa ubelgijj. Na hii yote ni kuwa TIS na huku ni mwana CCM.
Awe ccm kwa kazi maalumu tuu. Lkn cyo kuwa kindakindaki. Tunaitaji kuwa na Strong institution na cyo strongmen. Pumuzika kwa amani mwamba Jpm! UlichokifanyaTz!
kwa kila m tz wa kweli na mwenye machungu na nchi yake ni lazima akulilie kwa uchungu. Kazi umeifanya JPM! Umeiyachia Tz heshima hapa duniani na kwa familia yako kwa ujumla.
Jovai mlongo...Fikiria Kama ole 7 baya n TISS unategemea nn huko ndan mkuu
Sifa ya TISS kuwa kada wa chama tawala imetosha elimu utaijua hukohuko mkuu nan atashindwa kuvaa miwan nyeusi na kaunda suti kwa Sasa hvyo n vigezo
Hasa kanda ile!!!!!!! Zamani kikosi cha Sumbawanga huwezi wajua. Akina Kobelo mzee wa ferryTISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.
zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.
na huu ni mwanzo.tu.
Aliyekuwa mlinzi wa JPM, jamaa mweusi hivi ana mwili mkubwa na si rahisi kutabasamu.Mtu gani kazushiwa kifo ?
Ndio,chini ya ObamaOsama kwan alipatikana utawala wa Obama? Nahisi kusahau
Eeh bhana hebu endeleaMkuu haya ni mambo ya kawaida sana kwenye system ya watu wengi. Bush na Bush Jr walimtafuta Osama zaidi ya 10yr bila mafanikio kosa Lao kubwa lilikuwa ni kushirikisha usalama wa taifa. Obama alifanikiwa kumpata baada ya kushirikisha watu wawili tu na yeye ni wa3. Vijana wakaanza mazoezi bila kufahamu wana mission gani.
dada kama unavyoonekana kwenye picha na wewe utakua mtu wa kitengo si bureUnfortunately katika hili la hayati na yote yanayomuhusu kuanzia maradhi mpaka kifo hawafiki wala kunusa 10! Hao 14 it’s a dream!
Kibaya zaidi it’s easy to identify all those that were there during admissions at JK insititute and later Mzena!
Tujipe muda na akiba ya kauli, tutayashuhudia!
Hii corona inachagua?Upo sahihi sana.
Tiss wakiendelea kufanya mchezo na Corona, tutaendelea kuwapoteza viongozi wetu wakubwa.
Umesahau pia kwamba afya ya Rais inagusa usalama wa nchi. Hao waliovujisha walifanya jambo jema. Sasa ulitakq nchi itawaliwe bila rais?Mngekua na Nia njema kwa nchi na wananchi basi hata taarifa zao (wale waliovujisha kuwaletea through Lissu) mngewakatalia na kuwataja hadharani!
When you use the weakness of your opponent/rival as a weapon against them, you are no more or less low than them!
sio kila TISS ni wa kufanya kazi ikulu wengine wabaki kariakoo tu kupiga kiwi viatu,kuuza magazeti na kichonga mihuriPengine nao ni TISS pia
kweli hapo sawasio kila TISS ni wa kufanya kazi ikulu wengine wabaki kariakoo tu kupiga kiwi viatu,kuuza magazeti na kichonga mihuri
Siyo kweli and that's not how CIA works.Mkuu haya ni mambo ya kawaida sana kwenye system ya watu wengi. Bush na Bush Jr walimtafuta Osama zaidi ya 10yr bila mafanikio kosa Lao kubwa lilikuwa ni kushirikisha usalama wa taifa. Obama alifanikiwa kumpata baada ya kushirikisha watu wawili tu na yeye ni wa3. Vijana wakaanza mazoezi bila kufahamu wana mission gani.
Kwabwina mlongo za magonoJovai mlongo...