Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Kama bado katiba ni hii tusitarajie hiyo Tiss kubadilika kwani ccm waliishaichakachua kitambo na sasa haitizami tena usalama wa nchi bali ni vipi ccm itabaki madarakani.

Kama makada wa ccm ndio wanapelekwa kuwa wana Tiss sasa hapo kuna cha kutegemea kweli, bila katiba mpya itakayorekebisha haya tusitegemee Tiss kubadilika. Never.
 
Ukiweka tumaini kwenye hirizi na kuanza kujifanya wewe na jini ni kitu kimoja lazima utoke show, kunawajuaji kuliko shetani hilo walijue kabisaa
 
Usafishaji na kuweka new team si jambo la kubeza.
Information is power kama habari zinasambaa bila utaratibu ni hatari.
Wapangiwe majukumu mengine.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu nje ya mada, hicho cheo cha Malaika mkuu si ndio mkuu amekifuata huko? Imekuwaje umekimbia nacho huku JF?
 
Samahani mkuu nje ya mada, hicho cheo cha Malaika mkuu si ndio mkuu amekifuata huko? Imekuwaje umekimbia nacho huku JF?
Hapana,huyu ni Malaika Mkuu na yule Ni Mkuu wa Malaika.Mmoja yuko duniani mwingine yuko huko kusikoonekana.
 
Watakao mpa presha mama ni wale wote wenye Uchu wa Madaraka.
uchu wa vyeo, uchu wa madaraka.

wapo watakao anza kujipendekeza na kujikomba ili wajipatie vyeo,

sasa wajuaji watazungumza sana na kujifanya wao wanajua uongozi.

njia pekee kwa mama ni kuwa Imara zaidi kuliko hata alivyo kuwa Magufuli.
 
Mkuu unakuwa mjinga kidogo.

Watu wasiporidhika ni vigumu sana kuwanyamazisha.

YOU CANT SILENCE THE WORLD.

Kwamba vyombo vingi vimenyamazishwa siyo kwamba watendaji wote wanaipenda hali hiyo.
Kila binadamu anayo nafsi inayomtuma kutenda sawa hata kama kuna watu hawapendi ukweli ujulikane.
Wewe unadhani Serikali ilianzia Dunia ni? Serikali Chanzo chake ni Mungu na Protocol zote Zina takiwa ziwe na heshima zote na usiri ndio nguzo ya serikali imara na makini.

Vitu hivyo vikikosekana kwenye Serikali, hiyo siyo Serikali Bali ni Sacosi ya Kucheza Upatu.

Pia napenda niwafahamishe hasa Ninyi vijana mnaojifanya kwamba Ninyi ni kizazi cha demokrasia.

Hakuna kitu kinaitwa demokrasia kwenye Utawala unaojitambua. Ukileta mambo hayo kwenye Utawala wako hauta fanikiwa kuongoza nchi kwa ufanisi.

Lengo la hicho kinachoitwa Demokrasia kililetwa na Mabeberu ili kuzivuruga serikali Ambazo zitaonekana zina Gusa Maslai yao kwa kutumia watu wao Ambao watawapandikiza kwenye vyama vya siasa na Mashirika mbali mbali ya Ndani na Nje ya nchi.

Sote ni Mashahidi Utawala wa Ndugu jakaya Ulishindwa kutimiza ndoto zake kwa kushindwa kusimamia Vizuri dhana ya ujanja wa Mabeberu Ambao walitumia Vyama na watu wa ndani kuivuruga Serikali Yake ishindwe kufanya Yale iliyokusudia kuifanya.

Mimi Nampongeza Sana Ndugu Hayati Magufuli Aliweza Kungamua hayo Na kuziba kila mianya ya Vibaraka wa Ndani na Nje ya Nchi na kupelekea nchi Yetu kukimbia kwa haraka sana kwenye Maendeleo.

Hivyo sisi kama taifa tunahitaji kufanya Uchunguzi wa mambo kabla ya kukurupuka kushabikia Ujinga kwakujifichia kwenye Panzia la Demokrasia.
 
Back
Top Bottom