Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Mkuu unakuwa mjinga kidogo.
Watu wasiporidhika ni vigumu sana kuwanyamazisha.
YOU CANT SILENCE THE WORLD.

Kwamba vyombo vingi vimenyamazishwa siyo kwamba watendaji wote wanaipenda hali hiyo.
Kila binadamu anayo nafsi inayomtuma kutenda sawa hata kama kuna watu hawapendi ukweli ujulikane.
Kweli kabisa na akumbuke Watanzania halisi tunapendana pasipo kubaguana.
Umoja wetu ni kutoka moyoni
 
Unapokuwa na taasisi ya kijasusi iliyojaa makada wa vyama,watoto wa wakubwa wasiojua kitu,haya ndio matokeo yake,
Diwani Athumani,anakibarua kikubwa,kazi imemshinda,.
Nchi mijitu ya ccm ilivyo na njaa,nina uhskika watumishi wengi waandsmizi kwenye taasisi mbalimbali,TRA,Bandari,Ikulu,TISS,JWTZ,polisi wanafsnya ujasusi kwa ajiri ya mataifa mengine,kwa kujua au kutojua,au kwa malipo.
 
Wasaidizi wa Rais wana vifaa maalumu vya kunusa hatari,Wanaweza kudetect devices.Kitendo cha mtu kupita pale na Camera wakati walikataza jua hawa jamaa hawako makini.Any time hata Rais angeweza kuvamiwa
Kwa mwendo huu wa usalama. nashindwa kuamini km Mwamba kafariki kifo chakawaida.
Ubongo wangu unagoma kabisa, maadui inaonekana wameingia hadi chumbani.
Mungu mpumzishe kwa amani mzalendo no 1. Hakika tutakukumbuka daima JPM.
 
Hakuna TISS bali waganga njaa. Mbona tunakunywa nao Bar eti wanajisifia wanatekeleza majukumu yao. Ukiblock gari lao sababu ya shida ya parking anatumia vifaa vya kazi alivyopewa na serikali kwa kodi zetu kutoa upepo matairi yote ya gari yako halafu anasepa na barmaid huku akijigamba "hujui mimi ni usalama wa Taifa". Kuna TISS hapo?!?
 
Mkuu haya ni mambo ya kawaida sana kwenye system ya watu wengi. Bush na Bush jr walimtafuta Osama zaidi ya 10yr bila mafanikio kosa Lao kubwa lilikuwa ni kushirikisha usalama wa taifa. Obama alifanikiwa kumpata baada ya kushirikisha watu wawili tu na yeye ni wa3. Vijana wakaanza mazoezi bila kufahamu wana mission gani.
Natamani uendele kusimulia
 
Na ndio maana nasema nchi haipo salama,kuna Vijana wa TISS siyo waaminifu wanatoa taarifa nje. Hii kitu siyo ya kuchekea kabisa ni hatari sana
Si wanataka sifa wachukue madam wetu mtaaani kisa usalama wa taifa
 
Sorry, kama hutojali naomba unirushie Pm au hata unitumie link pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan kama itapendeza kutiendekea kuisambaza vile. Ila imechukuliwa kwa umakini sana raisi anaoneka vizuri kama vile anatabasamu kwa mbali kama kasinzia vile.

Inaonekana alochukuwa video hiyo kwa kimo alikuwa mrefu sana maana imechukuliwa mwanzo walipokuwa wakitokea watu akageuka kule kichwani Kwa umakini imerekodiwa kwa umakini wa hali ya juu hata usalama hawakujua nahisi.
Kwa video ile ukiiona huna haja ya kwenda kuaga yaan iko clear hd kabisa.
Afu ilichukuliwa siku ile ya kwanza wanaaga dar.
Masikini kavaa miwani kama yupo hai dah.

Nisamehe sitoweza kukutumia ila nahisi utaipata kwa wengine coz ipo mitandaoni.
 
Mngekua na Nia njema kwa nchi na wananchi basi hata taarifa zao (wale waliovujisha kuwaletea through Lissu) mngewakatalia na kuwataja hadharani!

When you use the weakness of your opponent/rival as a weapon against them, you are no more or less low than them!
sorry mimi sina chama au interest na upande wowote ule. lakin ni nili highlight concern yangu kwa usalama.
wanasiasa haswa chama tawala wanapenyeza makada TISS ili wa control TISS.
hiki chombo hakikutakiwa kuingiliwa na political side yoyote ile.
tungekuwa na mfumo mkali kama CIA,MI6 ambao unautenga na politics.. only qualified individuals ndio wanaruhusiwa.

matokeo yake tunayaona sasa. tunakuja kupata product kama akina sabaya. nao ni TISS. lakin angalia work ethics zao?

TISS imekuwa diluted sana sikuiz, not like old days. operatives walikusa wanaheshimika na ngumu kujulikana.
ila sasa ndivyo sivyo. we need to change.
 
Hata Whitehouse taarifa ambazo hazijakaa poa zinavuja..
Itakua za hapo magogoni?
zinavuja at what rate? tuanzia hapo.
tusi justify uzembe kwa kujilinganisha na wenzetu.
wenzetu wamejitahidi sana kudhibiti sana hili. kungetokea uzembe kama wakwetu. hata nuclear launch codes zingeshavuja.
 
Ushauri wangu ili mama samia afanye kazi vzr ni vema Ikulu isafishwe, maafisa wale wa zamani wote waondolewe.

Kuanzia cameraman wote hadi walinzi wa getini otherwise mama atafanya kazi kwa presha sana na changamoto kubwa.
 
Back
Top Bottom