T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Kwani mtoto wa jombii haendi kusomea?Inatakiwa waliosomea tu na siyo mtoto wa jombii,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mtoto wa jombii haendi kusomea?Inatakiwa waliosomea tu na siyo mtoto wa jombii,
Niliwahi kusema siku moja. Aliyeasisi mchezo huo wa kuingilia/kudukua mawasiliano ya watu,.....ipo siku mchezo huo utageuka upande wake...TISS pia walivujisha video ya mazungumzo ya Tundu Lissu alipotembelewa na Mama Samia Nairobi Hospital.
..Usisahau waliodukua mazungumzo ya kina Nape Nnauye, January Makamba, Bernard Membe, na Abdulrahman Kinana.
..Sasa jiulize aliyekuwa aki-direct mambo hayo ya hovyo ni nani?
Duuu mbona Mimi sijaviona ndugu? Fanya kunitumia hata pm mkuuJeneza na maiti sasa hivi ya Jiwe inazagaa mitandaoni.
Tena video kabisa. Hehehehe [emoji1787]
Nchi hii watu wanatundika suti tu na miwani nyeusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii inanifanya niamini sasa hata taarifa za kuugua na kifo cha Magufuli huenda Lissu alipewa na wasaidizi wa mama Samia?..TISS pia walivujisha video ya mazungumzo ya Tundu Lissu alipotembelewa na Mama Samia Nairobi Hospital.
..Usisahau waliodukua mazungumzo ya kina Nape Nnauye, January Makamba, Bernard Membe, na Abdulrahman Kinana.
..Sasa jiulize aliyekuwa aki-direct mambo hayo ya hovyo ni nani?
Sielewi hawa vijana wanalindaga nn yaani kuna vijana unakutana anasema TISS uwezo wake tu wa kufikiri ni mdogo sanaWasaidizi wa Rais wana vifaa maalumu vya kunusa hatari,Wanaweza kudetect devices.Kitendo cha mtu kupita pale na Camera wakati walikataza jua hawa jamaa hawako makini.Any time hata Rais angeweza kuvamiwa
Eti na katambi nae ni tisshii hali imetokana na ccm kupenyeza vijana wasio na quality ndani ya shirika.
wamefanya makusudi ili wali control shirika kupitia hao makada.
matokea yake ndio haya.. tunakuja kupaya product za hovyo kama akina sabaya.
Ukiipata nisaidie hata PM ndugu yangu. Nina hamu sana ya kumuonawapi naweza kuiona sura na video ya jpm?
acha kushadadia vitu ambavyo haujafanyia utafiti utakuja kuumbuka babuTISS = UVCCM njaa kali
Kuyajaza ma uvccm ndio kulikoleta hali hiyo wacha wavune walichopanda . Halafu kuna yale yaliyokuwa yanamlinda toka kwa Kagame vp bado yapo ?TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.
zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.
na huu ni mwanzo.tu.
share video ili tihakiki usemachoTecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.
TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.
Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.
Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
Hata Mimi naitafuta mana nilitamani niwe Mona ya waagaji ila mazingira yanabana,hivyo nilitamani hata Leo TVs zingekuwa zinamuonyesha tu wakati zoezi la uagaji likiendeleaUnaitaka ya nini?
acha kutupotosha mh. ni TISS ambayo unamaana ya TANZANIA INTELLIGENCE and SECURITY SERVICEMkuu ni TISS sio TIS.
Eeenh,Tecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.
TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.
Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.
Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
Duh! Sasa hii ni hatari kwa taifa. Inaonesha kuna udhaifu mkubwa sehemu fulaniJamaa anapiga supana huko ni nouma Sana , anaonyesha mpak charting za magroup ya ulinzi na usalama ...kwenye uchaguzi wa makamu wa Raisi kasimamia ukucha kwel kwel ...... Inavyoonekana watu wake wa karbu ni watu wa ikulu
Umeongea point sana.. sio TISS tu sekta nzima ya utumishi inaajiri kwa kigezo cha u ccm ndo mana kunakuwa na watumishi wasio na uwezo.TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.
zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.
na huu ni mwanzo.tu.
Sasa walikuwa wanafanya siri ili nini?Kuna vitu vingine hauwezi kufanya siri hata uweke sheria kali kwenye hii dunia digito! Kifo uwezi kufanya siri. Jeneza linapotoka kuna watu, wapakiaji, dereva, wanao lipokea ikulu/hospital linapoifadhiwa hapo ikulu/hospital kuna wafanyakazi watakuwa wanaliona. Unaweza kuficha kwa masaa machache lakini sio siku utakuwa unajidanganya!!
Tanzania hakuana viapo bana,mtu anaapa kuilinda na kuifuata katiba,halafu akiapishwa anaivunja kwa makusudi tena akijitapa.Huwezi kumwita Lissu mzushi wakati anapewa taarifa za kweli, na siwezi mlaumu kwa hilo
Tatizo ni aliyempa taarifa huku akijua ameapa kutunza siri.