..Utakuwa umekosea.Hii inanifanya niamini sasa hata taarifa za kuugua na kifo cha Magufuli huenda Lissu alipewa na wasaidizi wa mama Samia?
..Waliovujisha clip ya Mama Samia na Lissu akiwa Nairobi Hospital walifanya vile kwa nia mbaya.
..Wale hawakutumwa na Mama Samia, na vilevile hawakuwa na ridhaa ya Lissu.
..Lile lilikuwa tukio la baya na la kihuni kufanywa na watendaji wa Ikulu na naamini lilimuumiza hata Mama Samia.