Mwamba ameongelea ethics za TIS za sasa zimebadilika sana??, Yaani mtu yupo ubelgiji ndo anatoa taarifa za mjomba?? Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kundi la watu hapo TIS ndo wamempa taarifa huyo jamaa wa ubelgijj. Na hii yote ni kuwa TIS na huku ni mwana CCM . Awe ccm kwa kazi maalumu tuu. Lkn cyo kuwa kindakindaki . Tunaitaji kuwa na Strong institution na cyo strongmen. Pumuzika kwa amani mwamba Jpm! UlichokifanyaTz! kwa kila m tz wa kweli na mwenye machungu na nchi yake ni lazima akulilie kwa uchungu. Kazi umeifanya jpm! Umeiyachia Tz heshima hapa duniani na kwa familia yako kwa ujumla.
Mkuu ninavyofahamu, TISS miaka ya 70s walikuwa wanawachukua vijana bright toka shule zinazo perform vizuri.
Na hiyo ndiyo principe ya mashirika yote ya usalama duniani-recruit the best.
Sivyo ilivyo sasa hivi, ni watoto wa mjomba hata kama hana akili sawasawa.
Pili operating principles za TISS sasa hivi zinatia mashaka.
Hata mapolisi sasa wanachaguliwa kuiongoza.
Hii inawavunja moyo career service personnel wanaoifahamu idara nje ndani.
Lazima kunakuwepo resentment.
Tatu, TISS inatakiwa iwe na unquestionable ALLEGIANCE TO THE STATE AND CONSTIUTION, na siyo allegiance to a political leader ambaye anaweza kuigeuza kuwa ni mali yake hadi kufanya mambo nje ya katiba.
Si uongo kwamba katika muda huu wa wasiwasi wa afya ya Commander in Chief, JWTZ wamefanya kazi iliyoiletea heshima Taifa, sina uhakika na TISS maana walisha sahau kuwa allegience is to the State and constitution first, then to the C in C.
Sasa watu ndani ya hivi vyombo very sensitive wanapopewa amri zinazoweza kuvunja katiba unategemea nini?
Ukweli utabaki kuwa ukweli, na ukweli uko very powerful.
Mtu usipouheshimu ukweli lazima kuna watu ambao nafsi zao zitawagusa ili kueleza ukweli huo, haijalishi cheo.