Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimegundua humu Jf kuna watu mnajitahidi kujadili msaada ambazo pengine zimepita uwezo wenu wa kufikiria.TISS ni kubwa sana tofauti na mnavyofikiria. TISS ni dubwasha moja lenye mgawanyiko mkubwa ndani yake. Ndani ya TISS kuna kitengo kinaitwa PSU (Presidential Security Unit) ambao hao uliowataja kwa kuwaita wanyarwanda ni miongoni mwao, na upatikanaji wao ni tofauti kabisa na mnavyofikiria.
Ishi na watu kwa wema binaadamu wana mwengine kwenye nafsi zao!Hata na mm nimehisi ni walizi pale camera inapoonyesha sura mara bili yaan alifika mwisho akageuza
Kama uvujishaji wa taarifa hizi haukufanywa makusudi na idara kwa lengo la kuzuia uovu flani, basi wasaliti(moles) watapatikana tu.Hiyo kazi mbona ni rahisi sana! Kum bbq traitors in the midst! Wala hawahitaji kubadirisha wote, wanaweza kuwatambua na kuwa eliminate kisansi at low cost!
Hahahaha ww jamaa unajua kuchamba kinomaNdo jua sasa wale jamaa na misuti yao myeusi na miwani na microphone kumbe hamna kitu .TISS inatakiwa kuundwa upya na sio kuokota okota tuu.
Kwani wewe ni muhalifu wa mtandaoni mpaka umeacha kutumia hizo social platform. Au uligundua nini hatarishi kwa upande wako ukaacha kutumia??Umemwaga Madini Sana Mno
Haupo Instagram, Facebook, Twitter
Aliyetoa Hoja Kasema HatumiiKwani wewe ni muhalifu wa mtandaoni mpaka umeacha kutumia hizo social platform. Au uligundua nini hatarishi kwa upande wako ukaacha kutumia??
[emoji38][emoji38] naratibu sasa usije niua, nimekosea badala ya kum quote yeye nimeku quote wewe. Sorry kaka!Aliyetoa Hoja Kasema Hatumii
Mbona Wewe Una Kichwa Kigumu Sana Pot
Nitakufanyizia Kazi Vizuri[emoji38][emoji38] naratibu sasa usije niua, nimekosea badala ya kum quote yeye nimeku quote wewe. Sorry kaka!
TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.
zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.
na huu ni mwanzo.tu.
👊👊Mkuu unakuwa mjinga kidogo.
Watu wasiporidhika ni vigumu sana kuwanyamazisha.
YOU CANT SILENCE THE WORLD.
Kwamba vyombo vingi vimenyamazishwa siyo kwamba watendaji wote wanaipenda hali hiyo.
Kila binadamu anayo nafsi inayomtuma kutenda sawa hata kama kuna watu hawapendi ukweli ujulikane.
Wapelekwe vikosini wakavae Kombati ije timu nyingine.L
Labda TIss iliyopo ivunjwe