Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Osama kwan alipatikana utawala wa Obama? Nahisi kusahau
 

Yaani uzuie bidhaa za mataifa mengine ili kuharibu uzalishaji wao?? Aisee, kumbe ndio maana mnaiita vita. Nawe unataka kuzuiwa namna hiyo ili uje hapa useme “vita vya kiuchumi”?? Huu ni ujinga!
 
nikurekebishe hapo. huwezi run heavy operation kama hiyo bila usalama wa taifa.
CIA walihusishwa, navy seals special operators.. pamoja na 106th special aviation squad.
though operation ilikuwa ya CIA.. navy seals wakiwa ni tactical team ya kuekeleza mission.

so ni joint opp. japo mission kama hii ilikuwa ya siri sana that watu wachache walijua. ila si wawili.
 
Na ndio maana nasema nchi haipo salama,kuna Vijana wa TISS siyo waaminifu wanatoa taarifa nje. Hii kitu siyo ya kuchekea kabisa ni hatari sana
hii hali imetokana na ccm kupenyeza vijana wasio na quality ndani ya shirika.
wamefanya makusudi ili wali control shirika kupitia hao makada.
matokea yake ndio haya.. tunakuja kupaya product za hovyo kama akina sabaya.
 
Wasaidizi wa Rais wana vifaa maalumu vya kunusa hatari,Wanaweza kudetect devices.Kitendo cha mtu kupita pale na Camera wakati walikataza jua hawa jamaa hawako makini.Any time hata Rais angeweza kuvamiwa
vifaa maalumu vya kunusa? huwez nusa digital camera. + pale watu ni wengi sana
. una detect nini?
mazingira ni magumu. labda wangekuwa ikulu
 
Mkuu ninavyofahamu, TISS miaka ya 70s walikuwa wanawachukua vijana bright toka shule zinazo perform vizuri.
Na hiyo ndiyo principe ya mashirika yote ya usalama duniani-recruit the best.
Sivyo ilivyo sasa hivi, ni watoto wa mjomba hata kama hana akili sawasawa.

Pili operating principles za TISS sasa hivi zinatia mashaka.
Hata mapolisi sasa wanachaguliwa kuiongoza.
Hii inawavunja moyo career service personnel wanaoifahamu idara nje ndani.
Lazima kunakuwepo resentment.

Tatu, TISS inatakiwa iwe na unquestionable ALLEGIANCE TO THE STATE AND CONSTIUTION, na siyo allegiance to a political leader ambaye anaweza kuigeuza kuwa ni mali yake hadi kufanya mambo nje ya katiba.
Si uongo kwamba katika muda huu wa wasiwasi wa afya ya Commander in Chief, JWTZ wamefanya kazi iliyoiletea heshima Taifa, sina uhakika na TISS maana walisha sahau kuwa allegience is to the State and constitution first, then to the C in C.

Sasa watu ndani ya hivi vyombo very sensitive wanapopewa amri zinazoweza kuvunja katiba unategemea nini?
Ukweli utabaki kuwa ukweli, na ukweli uko very powerful.
Mtu usipouheshimu ukweli lazima kuna watu ambao nafsi zao zitawagusa ili kueleza ukweli huo, haijalishi cheo.
 
Kosa kubwa ni LEGAL au INSTITUTION SET UP ya Taasisi ya TISS. Hii Taasisi imeji affiliate na CCM ni kosa kubwa. Ndio maana ZZK aliwahi kusema ifumuliwe. Si usalama wa Taifa tena bali usalama wa CCM. Na ndio maana mijizi ya CCM inapigania vyeo vikubwa na itapata!
 
TISS wana kazi nyingi. TISS wanaweza side na upinzani kupinga baadhi ya mienendo ya serikali ijisahhishe. Kwahiyo inaweza kuwa strategy.
Mf. hizo taarifa za kuchota Billion 86 BoT. Wanavujisha ili watu wawajibishwe!
 
Huyo Mpiga Picture Kaachia Video Na Sura Ya JPM, Hatari Technology Inatisha Mno
Kuna Mtu Alikuwa Anauliza Mbona Sura Haipo
 
Ni kweli aisee kama huyu kenge kazipata wapi habari za kuwa rais kavutankama sio hao hao tiss!?
 
Huyo Mpiga Picture Kaachia Video Na Sura Ya JPM, Hatari Technology Inatisha Mno
Kuna Mtu Alikuwa Anauliza Mbona Sura Haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…