Ni kweli mkuu TISS ya miaka ya Mwalimu ilikuwa very well informed, patriotic na wana weledi ambao wananchi tulikuwa tunajivunia kwamba fanya lolote baya kwa nchi, siku zako zimehesbika.
Ni vizuri TISS wenyewe wakajitathmini kiutendaji ili warudi katika hali ile ya zamani.
Siku hizi utakuta kijana anatamba mitaani kuwa yeye ni TSS!
Kinyume kabisa na maadili ya kazi, mtu anajiexpose kwa kutamba, kumbe ndio ameharibu kazi kabisa.
Ukimkuta hata Uvinza ni lazima mtu aliyemtambia atamu expose.
Image mbaya iliyotanda sasa kuwa Kitengo, kuwa kazi yake ni kuwa watu wasiojulikana imeua sana imani ya wananchi.
Walirekebishe hili kwa haraka.