Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Huwezi kumwita Lissu mzushi wakati anapewa taarifa za kweli, na siwezi mlaumu kwa hilo

Tatizo ni aliyempa taarifa huku akijua ameapa kutunza siri.
Siri juu ya afya ya Rais na hata mauti yake yakuwa kwa faida ya nani ?!. Ninavyojua Rais ni kiongozi wa umma (wananchi) . So afya yake na mauti yake ni mali ya wananchi.

Kinachoisumbua Tanganyika ni u communist uchwara. Tunajaribu kuiiga North Korea.
 
Mmeficha ugonjwa wake wee mtu akisema Rais anauwa mnamkaata, sasa mmeumbuka kuificha maiti mmeshidwa sasa mnaitebeza ili aonekane alikuwa lulu ya taifa!!
Kwangu mimi ni lulu ya taifa haijalishi nyinyi watu milioni tano na ushee mtasemaje
 
Mkuu haya ni mambo ya kawaida sana kwenye system ya watu wengi. Bush na Bush Jr walimtafuta Osama zaidi ya 10yr bila mafanikio kosa Lao kubwa lilikuwa ni kushirikisha usalama wa taifa. Obama alifanikiwa kumpata baada ya kushirikisha watu wawili tu na yeye ni wa3. Vijana wakaanza mazoezi bila kufahamu wana mission gani.
Achana na mambo ya Osama. Zile ni kete tu za Marekani kuweka kupata sababu ya kuingia uarabuni na kuchota mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba ameongelea ethics za TISS za sasa zimebadilika sana??, Yaani mtu yupo Ubelgiji ndo anatoa taarifa za mjomba?? Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kundi la watu hapo TISS ndo wamempa taarifa huyo jamaa wa Ubelgijj. Na hii yote ni kuwa TISS na huku ni mwana CCM.

Awe CCM kwa kazi maalumu tuu. Lkn siyo kuwa kindakindaki. Tunaitaji kuwa na Strong institution na siyo strongmen. Pumuzika kwa amani mwamba JPM! UlichokifanyaTz!

Kwa kila m tz wa kweli na mwenye machungu na nchi yake ni lazima akulilie kwa uchungu. Kazi umeifanya JPM! Umeiyachia Tz heshima hapa duniani na kwa familia yako kwa ujumla.
Kaka mkubwa, kuna sehemu nimeona wanasema watu karibia bilioni 2 wanafuatilia msiba huu live kila siku.
 
Uko na ushahidi Chief, kwamba hata mimi Verified Member nilihusika/nimehusika kwa aina yoyote ya Mauaji? Yoyote?!?

Chief, Tanzanians,RealTanzanians, wameamka mbaya! Mbaya mno Chief!
Verified wa JF ni wa kuwaamini ? mbona hukuuliza waliko waliomuua Ben Saanane au waliomuua Lissu hadi akafufuliwa na wakenya ? hivi mnadhani sisi ni wajinga kiasi hicho ? vile viroba vya maiti mnadhani hatukuviona ? sasa ni hivi , TUNAANZA UPYAAAAAAAAAA !!! LIWALO NA LIWE !
 
Njaa kali huyo anatafuta teuzi
Akili yetu iko chini sana, kwani siwezi tumia email ya mtu yeyote kufanya registration Jf? hii ni forums ndogo sana kijana. unapo ambiwa kuwa kila mtu anatumia fake informations humu hujiongezi?.

Mnavozidi kupuuza technologia ndivyo information za taifa zinavyo leaky kila mahali, dunia ya sasa inaongozwa na technologia na innovations. Hivi ndivyo vina drive economy the nchi zote duniani.
 
Nilitaka nami Kuchangia Ndugu ila kwa haya Madini yako machache tu ya maana Umemaliza kila Kitu, Heko sana na sitakiwi tena Kuongeza niliyokuwa nayo.

Ulichokiwasilisha hapa Ukweli mtupu 100% Ndugu. Natama Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan aipitie hii post yako ili ajue wapi aanze napp. TISS ya sasa imeharibiwa na rotten and very bogus recruits tofauti na wale Weledi wa kweli kuanzia mwaka 2005 na kurudi nyuma ( tokea Uhuru wa Tanzania ) ambao ndiyo waliipa Idara Heshima na Kuheshimika si tu ndani ya Tanzania bali hadi nje ya Mipaka yetu.

Najua huu ni Ukweli Mchungu Kwao na hapa JF wapo wengi ila Wajitathmini na Wajirekebishe upesi. Idara imetoka nje ya Miiko na Misingi yake Mikuu ya Kiutendaji kwa Watanzania na Ustawi wao Kiujumla.
Ni kweli mkuu TISS ya miaka ya Mwalimu ilikuwa very well informed, patriotic na wana weledi ambao wananchi tulikuwa tunajivunia kwamba fanya lolote baya kwa nchi, siku zako zimehesbika.

Ni vizuri TISS wenyewe wakajitathmini kiutendaji ili warudi katika hali ile ya zamani.
Siku hizi utakuta kijana anatamba mitaani kuwa yeye ni TSS!
Kinyume kabisa na maadili ya kazi, mtu anajiexpose kwa kutamba, kumbe ndio ameharibu kazi kabisa.
Ukimkuta hata Uvinza ni lazima mtu aliyemtambia atamu expose.
Image mbaya iliyotanda sasa kuwa Kitengo, kuwa kazi yake ni kuwa watu wasiojulikana imeua sana imani ya wananchi.
Walirekebishe hili kwa haraka.
 
Kuna mtu alikua anamtumia....
kama alikuwa anatumika. kitaalam wanaitwa assets. si waajiriwa wa taasis lakin wanatumika kutekeleza jambo fulani la taasisi.
one thing watu kama hawa wakishatumika wanakuwa disposed kama toilet paper. na shirika huwa linakata mazoea nao ku avoid matatizo mbeleni.
 
Sahihi...
 
Well said Chief.
 
Ndani ya mwezi mmoja,ikulu yetu tumepoteza viongozi muhimu sana. Sio kitu cha kawaida. TISS msikae kimya.kuna jambo
 
Ndani ya mwezi mmoja,ikulu yetu tumepoteza viongozi muhimu sana. Sio kitu cha kawaida. TISS msikae kimya.kuna jambo
ni kweli. kina uzembe mahali. kama umeona michango ya wadau utajua tatizo linaanzia wapi. somehow shirika la usalama liliyumba mahali baada ya kuruhusu wanasiasa ku temper nalo.
 
Back
Top Bottom