Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mkuu, kwa bahati mbaya mimi sikuona video clip hiyo, lakani kutokana na maelezo yako inaelekea camera ilikuwa imefichwa kwenye miwani yake, tugeweza kusema labda kwenye barakoa lakini dalili zinaonyesha ni miwani - watu wenye nyenzo kama hizo ni majasusi pia na usalama wa taifa, lakini hata wahalifu walio kubuhu wanaweza kununua nyenzo kama hizo off the shelf Uchina, Hong Kong na kwingineko Duniani.Zingatia mitembeo ya huyo aliekuwa anarecord, video inaoneka kabisa kufata movement za kichwa chake,Alipokuwa anatembea kuelekea kwenye jeneza camera ilikuwa inachukua ground position huku ikigeuka kulia na kushoto kulingana na movement za shingo yake, ndomaana alipofikia jeneza alipoinama kama ishara ya kuangalia mwili camera ilichukua, lakini pia alipopita aligeuza shingo nyuma tena na kamera ikaendelea kurecord, ingekuwa ni simu asingeweza ku capture sura ya Hayati bila kujulikana.
Probably jamaa alikuwa na camera chip kwenye miwani yake,au kofia kama alikuwa nayo.
Kinacho nishangaza mimi iweje Tundu Lissu apate latest movement za Mzalendo JPM alipo anza kuumwa na kulazwa hospitalini yote hayo in real time!! Halafu anasema kwamba info hizo amezipata kutoka kwenye reliable source za USA na Afrika Kusini, kuna kitu pale si bure - binafsi naona Serikali yetu ifanye juu chini kumukamata Lissu aletwe nchini ahojiwe kwa kina, huyo ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa ku-spill the beans kwa kuwataja wale wote aliokuwa anashirikiana nao, sijui wenzangu hili mnalionaje?