Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Zingatia mitembeo ya huyo aliekuwa anarecord, video inaoneka kabisa kufata movement za kichwa chake,Alipokuwa anatembea kuelekea kwenye jeneza camera ilikuwa inachukua ground position huku ikigeuka kulia na kushoto kulingana na movement za shingo yake, ndomaana alipofikia jeneza alipoinama kama ishara ya kuangalia mwili camera ilichukua, lakini pia alipopita aligeuza shingo nyuma tena na kamera ikaendelea kurecord, ingekuwa ni simu asingeweza ku capture sura ya Hayati bila kujulikana.

Probably jamaa alikuwa na camera chip kwenye miwani yake,au kofia kama alikuwa nayo.
Mkuu, kwa bahati mbaya mimi sikuona video clip hiyo, lakani kutokana na maelezo yako inaelekea camera ilikuwa imefichwa kwenye miwani yake, tugeweza kusema labda kwenye barakoa lakini dalili zinaonyesha ni miwani - watu wenye nyenzo kama hizo ni majasusi pia na usalama wa taifa, lakini hata wahalifu walio kubuhu wanaweza kununua nyenzo kama hizo off the shelf Uchina, Hong Kong na kwingineko Duniani.

Kinacho nishangaza mimi iweje Tundu Lissu apate latest movement za Mzalendo JPM alipo anza kuumwa na kulazwa hospitalini yote hayo in real time!! Halafu anasema kwamba info hizo amezipata kutoka kwenye reliable source za USA na Afrika Kusini, kuna kitu pale si bure - binafsi naona Serikali yetu ifanye juu chini kumukamata Lissu aletwe nchini ahojiwe kwa kina, huyo ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa ku-spill the beans kwa kuwataja wale wote aliokuwa anashirikiana nao, sijui wenzangu hili mnalionaje?
 
Yeah ni kweli mkuu, ila kwa nilichosikia kwasasa nchi iko chini ya JWTZ na kuna baadhi ya watu wamewekwa kizuizini. Tangu JWTZ wachukue asilimia kubwa ya jukumu la ulinzi mpaka Sasa sijaona post yoyote kutoka kwa kigogo yenye kutia shaka.Maana yake ni kwamba Kigogo ni kikundi cha watu kilichokua kikifanya kazi na TISS.
 
Mkuu, kwa bahati mbaya mimi sikuona video clip hiyo, lakani kutokana na maelezo yako inaelekea camera ilikuwa imefichwa kwenye miwani yake, tugeweza kusema labda kwenye barakoa lakini dalili zinaonyesha ni miwani - watu wenye nyenzo kama hizo ni majasusi pia na usalama wa taifa, lakini hata wahalifu walio kubuhu wanaweza kununua nyenzo kama hizo off the shelf Uchina, Hong Kong na kwingineko Duniani.

Kinacho nishangaza mimi iweje Tundu Lissu apate latest movement za Mzalendo JPM alipo anza kuumwa na kulazwa hospitalini yote hayo in real time!! Halafu anasema kwamba info hizo amezipata kutoka kwenye reliable source za USA na Afrika Kusini, kuna kitu pale si bure - binafsi naona Serikali yetu ifanye juu chini kumukamata Lissu aletwe nchini ahojiwe kwa kina, huyo ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa ku-spill the beans kwa kuwataja wale wote aliokuwa anashirikiana nao, sijui wenzangu hili mnalionaje?
kupata info kama hizo ni rahis sana. inategemea how connected you are na watu walioko ndani ya serikali au ndani ya TISS.
Tundulissu ni kamtu kadogo sana kwenye hii circle. kuna major players ambao wako ndani ya serikal. na hawa ndio wabaya zaidi.

akikosekana lissu ,hizo info watampa mwingine. eg. kigogo
tusipodhibiti hao wasaliti wa ndani. tutakuwa hatujafanya lolote.
 
Ndugu zangu huwa ninarudiarudia kuwaambia kuwa dini zetu hizi mpya ni vyombo kamili vya kijasusi vinavyofanyakazi za wakoloni. Dini hizi zililetwa na wakoloni kwa malengo yao mahususi na zitaendelea kubaki za wakoloni. Walikuja na kuishi nazo lakini waliziacha walipoondoka. Hatuko salama hatuko salama hatuko salama kama viongozi wakuu watazikumbatia sana hizi dini. Mabeberu wamejifisha katikati ya dini hizi kupata chochote wanachokitaka kwetu n kwingineko.

Tena yako madhebu ambayo ndiyo hatari sana kutumika kwa kazi hizo za kudhoofisha kwa njia mbalimbali maifa yanayotaka kunyanyuka hasa kiuchumi na kifikra.
 
Jamani rais alikuwa anawalaza njaa watu wengi ambao walizoea pesa nyingi za rushwa, kuchukua kwa "kazi maalum" na za safari za nje kila wakati. Kwa vyovyote vile hawezi kutokea rais mwingine kama Magufuli hadi ipite miaka mingi. Ndio maana muda wote alikuwa akisema hadharani kuwa nimeyatoa sadaka maisha yangu kwa watanzania, lakini watu hawakuwa serious kujua rais alikuwa na maana gani kusema vile.
 
i think ulichoandika hakiendani na jibu langu.
i dont care aliwabana akina nani.
sitaki hata kuwajua.

my concern ni security ya nchi. not political noise.

And nikukumbushe tu usipende kuish kwenye vivuli vya watu.
JPM is gone yes, tuko na utawala mpya, na tutaendelea kupata marais wenye character tofauti tofauti..
cha msingi ni kubaki kwenye njia kuu. na sio kulilia kivuli cha mtu ambae hayupo.
 
Ndugu zangu huwa ninarudiarudia kuwaambia kuwa dini zetu hizi mpya ni vyombo kamili vya kijasusi vinavyofanyakazi za wakoloni. Dini hizi zililetwa na wakoloni kwa malengo yao mahususi na zitaendelea kubaki za wakoloni. Walikuja na kuishi nazo lakini waliziacha walipoondoka. Hatuko salama hatuko salama hatuko salama kama viongozi wakuu watazikumbatia sana hizi dini. Mabeberu wamejifisha katikati ya dini hizi kupata chochote wanachokitaka kwetu n kwingineko.

Tena yako madhebu ambayo ndiyo hatari sana kutumika kwa kazi hizo za kudhoofisha kwa njia mbalimbali maifa yanayotaka kunyanyuka hasa kiuchumi na kifikra.
dini ni sehem ndogo sana. Ujasusi una njia million kadhaa kufanyika.
tunatumia 90% ya vitu vyao. ikiwemo technologia, mawasiliano ,afya, usafiri na mamno mengine.
hivyo vyote wanafanya navyo ujasusi.

Dini si tatizo, Modern technology is the new threat.
 
i think ulichoandika hakiendani na jibu langu.
i dont care aliwabana akina nani.
sitaki hata kuwajua.

my concern ni security ya nchi. not political noise.

And nikukumbushe tu usipende kuish kwenye vivuli vya watu.
JPM is gone yes, tuko na utawala mpya, na tutaendelea kupata marais wenye character tofauti tofauti..
cha msingi ni kubaki kwenye njia kuu. na sio kulilia kivuli cha mtu ambae hayupo.
Issue yetu iko kwenye recruitment ya staff wa TISS, misingi imeachwa wanaangalia mtoto wa fulani pia awepo kama sehemu ya ajira ya kawaida, wamefanya hivyo hata kwwnye vyombo vingine vya ulinzi na usalama kama polosi, uhamiaji, magereza, na jeshini. Watu hawa hawapendi kazi wanapenda pesa, sasa utakapozuia wao kupata hela kama enzi za fulani watatamani uondoke ili wajaribu huko mbele. Usifikirie kidogokidogo hivyo
 
Mtoa post uko sahihi,ila tegemea majibu ya ajabu ajabu pia maana nchi imejaa kizazi cha KIHUNI!
 
Issue yetu iko kwenye recruitment ya staff wa TISS, misingi imeachwa wanaangalia mtoto wa fulani pia awepo kama sehemu ya ajira ya kawaida, wamefanya hivyo hata kwwnye vyombo vingine vya ulinzi na usalama kama polosi, uhamiaji, magereza, na jeshini. Watu hawa hawapendi kazi wanapenda pesa, sasa utakapozuia wao kupata hela kama enzi za fulani watatamani uondoke ili wajaribu huko mbele. Usifikirie kidogokidogo hivyo
hiyo kitu nimeshaitolea point post zangu za mwanzoni kabisa. tena nimefafanua kiundani. labda ww ndio hukuona
 
Noted, lakini hukubali kama watu wa hivyo ukiwaminyia vyanzo vya misosi yao wanaweza kukengeuka na kukudhuru. Watu hivyo wakipewa dau nono ni vigumu kulikataa. Tumeona akina Kabila baba wakidhuriwa na walinzi wao
 
sorry kuna mahali nimeandika kuwa sikubali?
i dont think so.
watu wa hivyo watu wa vile watu wa wapi.. zote zitaishia kuwa speculations tu. unaweza kuwa right or wrong since hakuna mwenye evidence.

bottom line is ni kuanza kurudi nyuma kuangalia tulikosea wapi. too much politics kwenye mambo ya muhim ndio imetufikisha hapa, too much undugu kwenye system ,too much uchama,too much interests.
lazima tu eradicate hivi vitu. kwanza
 
Watawala mtu mwaminifu kwao ni yule anaewatukana na kuwapiga bila huruma wapinzani, wanasahau kuwa hata hao wanafanya hivyo kibiashara na ajira tu vinginevyo wao pia ni wapinzani kama akina Lissu na wengine. Hakuna askari wala TISS asiyependa mama yake kijijini, ndugu zake na watoto wake wawe na maisha maisha mazuri, maji, umeme, afya na elimu bora kabisa baada ya miaka 60 ya uhuru
 
new technology will make tiss kuwa loyal.. i say this is very very wrong.
loyalt inakuja kutokana na ethics za kazi, na si technology unayotumia.
Hakuna mahala niliposema hivyo, bali nimesema troubleshooting ianzie kwenye technology kwanza
 
Back
Top Bottom