Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Vijana wa hovyo sana nyinyi,sizani kama mnastahiki kuitwa ni Taifa la kesho
Tena wa ajabu sana.

Yaani hawa ndio wanamfanya Rais aone mambo yako bam bam mtaani kumbe wananchi wanalia.

Au ndo kusema jerojero zinafanya kazi?

Hovyo kabisa, mnasifia hadi dunia inatushangaa!

Huku mtaani kila kitu kimepanda then mtu anakuja kuropoka tu mitandao.

Daah.

Safari bado sana kwa vijana kama hawa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Fanya kazi hakuna cha bure, Unataka Rais akupe pesa ya kula?
 
CCM ni ile ile......... Praise Team kazini
 
Nahisi kama ni Msoga GANG vs Push GANG! Anyway nadhani naota.
 
Mafisadi mnasherekea ukombozi baada ya mwamba kupumzika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…