Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Tena wa ajabu sana.Vijana wa hovyo sana nyinyi,sizani kama mnastahiki kuitwa ni Taifa la kesho
Yaani hawa ndio wanamfanya Rais aone mambo yako bam bam mtaani kumbe wananchi wanalia.
Au ndo kusema jerojero zinafanya kazi?
Hovyo kabisa, mnasifia hadi dunia inatushangaa!
Huku mtaani kila kitu kimepanda then mtu anakuja kuropoka tu mitandao.
Daah.
Safari bado sana kwa vijana kama hawa.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app