Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Kwamba huyo bibi ndo anatumia ubongo wake kufikiri juu ya tz?mhhh sidhani
 
Siku hizi hatuna watu, tuna chawa na wanasumbua sana.
 
Mama chapa kazi
 
Kweli ni ngumu kumpata mtu kama huyu,
 
 
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
#Tanzania kaziiendelee
 
NYIE WAGANGA NJAA TUMESHAWAZOEA, HATA KIPINDI CHA MWENDAZAKE MLIKUWA MNATUPA RECORD KILA SIKU ILIYOWEKWA/ KUVUNJWA NA SERIKALI YAKE, UKU MKIENDELEA KUSISITIZIA KUWA HATUTAKAA TUPATE RAIS KAMA HIYO NA KUWA ITATUCHUKUA KARNE NA KARNE.
LAKINI CHA KUSHANG’AZA HIVI SASA HATA MWAKA HAUJAFIKA HUYU AMESHAKUWA BORA KULIKO MTANGULIZI WAKE.[emoji23][emoji1787][emoji23]
 

Wahuni na matapeli kazini. Kwani kiroboto anasema je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…