Tajiri la Bitcoin
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 1,139
- 707
#Kaziiendelee kwa speed hii hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote ni upambe nuksi ila hilo namba 2 linastaajabisha na kushangaza!
DaaahMafisadi mnasherekea ukombozi baada ya mwamba kupumzika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwenye namba 2 na 3 hapo broo tumepigwa na kitu kizito.Kama Taifa hebu tutafakari haya:
1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB,
2. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayekusanya kodi kwa haki kwa wastani wa TZS 1.72 Trilioni kwa mwezi bila ya kukimbiza wafanyabiashara wala kuwadhulumu chochote!!?.
3. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayewahurumia na kuwarejesha shuleni watoto wa masikini waliopata mimba wakiwa shuleni kwa kurubuniwa kwa chips na mserereko?!!
4. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayekuza uwekezaji wa nje FDIs mara sita zaidi kwa miezi sita tu yaani kutoka $510M hadi $3BL!!?.
5. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine kwa miezi saba tu ataongeza hifadhi yetu ya fedha za kigeni kwa TZS 4.4Trilion yaani kutoka $4.8BL mwezi March hadi $6.7BL mwezi September 2021!!?.
6. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayenunua ambulance 395 na magari 214 kwa mkupuo kwaajili ya chanjo wakati mtangulizi wake kwa miaka mitano alinunua ambulance 117 tu bila magari ya chanjo.
7. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayenunua CT SCAN kwenye kila mkoa,Wote mnakumbuka tangu uhuru zilikuwepo CT SCAN mbili tu Tanzania bara na visiwani.!!?
8. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayetununulia MRI kwenye kila hospitali ya kanda nchi nzima sina historia kama tuliwahi kuwa na MRI Machine yeyote kabla ya hizi mpya za mama Samia Suluhu Hassan,
9. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakaye tununulia "Water drilling holes machines " 25 toka mashine moja ya Halmashauri ya Tarime tuliyokuwa nayo,Huyu ni Rais anayekwenda kumaliza shida ya maji kwa vitendo Tanzania.
10. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayetujengea madarasa elfu 15 ya Sekondari na mengine elfu 3 ya Shule za Msingi shikizi, Hii ni Sawa na wastani wa kila shule moja ya sekondari ya Serikali kujengewa madarasa mapya manne (4).
11. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayewapanga Wamachinga wetu kwenye Permanent Premises ili watambulike na kupewa mikopo na huduma nyingine mbalimbali za kibiashara kama Semina na mafunzo kirahisi badala ya kuwatumia kama mtaji wa kisiasa na kuwaacha wakiogelea kwenye Umasikini toka mwaka mmoja wa Uchaguzi na mwingine.
12. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayefuta wasiojulikana wote,walevi wa madaraka wote na kuwafanya watu waishi kwa Uhuru na kwakujiamini ndani ya nchi yao huku akilifungua Taifa kimataifa.
Nitaendelea na tafakuri yangu
Dogo uko serious kweli?? mbona Naona aibu kwa upuuzi uliandiikaKama Taifa hebu tutafakari haya:

Akitenda haki vinginevyo tutamyoosha kama yule aliyetanguliaTeam JF,
MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.
#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
Tumepigwaje mkuu?Kwenye namba 2 na 3 hapo broo tumepigwa na kitu kizito.
Khaaaa tatizo nini mkuu?
Tangu aingie madarakani amekuwa akitenda haki wakati woteAkitenda haki vinginevyo tutamyoosha kama yule aliyetangulia
Kila kitu ni Juu tuTanzania na Samia,
1.Uchumi Juu,
2. Uwekezaji juu
3. Diplomasia juu
4. Amani & Upendo juu
5. Maendeleo juu
6. Demokrasia juu
Acha ngonjera zako kujipendekeza. Nani kakueleza watu wana haja na samia mwingine. Huyu samia wa sasa ajitahidi tu atuvushe hadi 2025 ili wananchi waweze tafuta magufuli mpya.Kama Taifa hebu tutafakari haya:
1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB,
2. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayekusanya kodi kwa haki kwa wastani wa TZS 1.72 Trilioni kwa mwezi bila ya kukimbiza wafanyabiashara wala kuwadhulumu chochote!!?.
3. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayewahurumia na kuwarejesha shuleni watoto wa masikini waliopata mimba wakiwa shuleni kwa kurubuniwa kwa chips na mserereko?!!
4. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayekuza uwekezaji wa nje FDIs mara sita zaidi kwa miezi sita tu yaani kutoka $510M hadi $3BL!!?.
5. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine kwa miezi saba tu ataongeza hifadhi yetu ya fedha za kigeni kwa TZS 4.4Trilion yaani kutoka $4.8BL mwezi March hadi $6.7BL mwezi September 2021!!?.
6. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayenunua ambulance 395 na magari 214 kwa mkupuo kwaajili ya chanjo wakati mtangulizi wake kwa miaka mitano alinunua ambulance 117 tu bila magari ya chanjo.
7. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayenunua CT SCAN kwenye kila mkoa,Wote mnakumbuka tangu uhuru zilikuwepo CT SCAN mbili tu Tanzania bara na visiwani.!!?
8. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayetununulia MRI kwenye kila hospitali ya kanda nchi nzima sina historia kama tuliwahi kuwa na MRI Machine yeyote kabla ya hizi mpya za mama Samia Suluhu Hassan,
9. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakaye tununulia "Water drilling holes machines " 25 toka mashine moja ya Halmashauri ya Tarime tuliyokuwa nayo,Huyu ni Rais anayekwenda kumaliza shida ya maji kwa vitendo Tanzania.
10. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayetujengea madarasa elfu 15 ya Sekondari na mengine elfu 3 ya Shule za Msingi shikizi, Hii ni Sawa na wastani wa kila shule moja ya sekondari ya Serikali kujengewa madarasa mapya manne (4).
11. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayewapanga Wamachinga wetu kwenye Permanent Premises ili watambulike na kupewa mikopo na huduma nyingine mbalimbali za kibiashara kama Semina na mafunzo kirahisi badala ya kuwatumia kama mtaji wa kisiasa na kuwaacha wakiogelea kwenye Umasikini toka mwaka mmoja wa Uchaguzi na mwingine.
12. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayefuta wasiojulikana wote,walevi wa madaraka wote na kuwafanya watu waishi kwa Uhuru na kwakujiamini ndani ya nchi yao huku akilifungua Taifa kimataifa.
Nitaendelea na tafakuri yangu
Wazee wa kufukunyua [emoji23][emoji1787][emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2023884
[emoji23]Uliyeleta mada hii tunaomba kujua elimu yako na jinsia pia ili tuweze kukuelewa!
Samia level zake ni US huko..cheki mambo yanavyokwenda Kwa Kasi Sana.
Hapa ni mkoani ujenzi wa lami za mitaani ukiendelea 👇
View attachment 2046908
View attachment 2046909
View attachment 2046910
View attachment 2046911
View attachment 2046912
View attachment 2046913
View attachment 2046914