Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Mleta mada kama unapongeza kutoka moyoni kabisa basi wewe utakuwa ni zao la maadui zetu wakuu ambao ni umaskini, ujinga, njaa, uchawa na maradhi!
We need stronger systems and institutional frameworks ambazo hazimtegemei mtu kutimiza majukumu yake.
Watu na majina yatakuja na kupita!
 
Watanzania ni watu hawana shukrani kwani bado wengine wanamponda mama
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Hiyo iko wazi. Hakuna tena nafasi kwa Magufuli wa kike mwingine nchi hii.
 
Umesahau,

Uhuru wa mahakama,
Demokrasia,
Uhuru wa kujieleza
Uhusiano kimataifa,
Ujenzi wa LNG
Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
Ujenzi wa SGR
ujenzi wa SG
Hawezi kutokea kabisa huyu ni mwanzo na mwisho.
 
Tatizo la hizi forum watu hawatumii majina yao halisia,usikute uzi huo kaposti mwenyewe akiwa amepumzika pale kwenye bustani ya ikulu.
 
Mwenyewe nani?
Kama huwezi kufumbua mafumbo yaliyomo kwenye mashairi,we pita tu.
werevu wa lugha ya kiswahili hufumbua mafumbo yote yaliyomo katika uandishi,unataka nianike kila kitu,niambiwe nimetukana?
 
Acha upumbavu mkuu..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…