Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Ujerumani walimtoa Hitler kwa gharama kubwa,Samia kaishi na dikteta mkubwa sana, lakini alibaki na tabia yake binafsi ya kuheshimu haki za binadamu na de mokrasia
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Kwenye namba 2 na 3 hapo broo tumepigwa na kitu kizito.
 
Dogo uko serious kweli?? mbona Naona aibu kwa upuuzi uliandiika
 
Acha ngonjera zako kujipendekeza. Nani kakueleza watu wana haja na samia mwingine. Huyu samia wa sasa ajitahidi tu atuvushe hadi 2025 ili wananchi waweze tafuta magufuli mpya.
 
Wazee wa kunata na beat.... Mshamsahau mwenda zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…