Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Sawa, lakini ana madhaifu mengi mno hadi kero!
 
Ukisema haya cha ajabu kuna ccm wanafura kwa khasira kulliko hata chauma😃
 
Nchi inapaswa kufight kuhusu kujitegemea na sio kujikomba kwa Mabeberu na kupata vipesa vya masharti magumu na inayoondoa heshima ya utu wetu ili kutaka kusifiwa na kufanya mambo kwa haraka itatucost! Yeye mama na Waziri wa Fedha wana mwelekeo na mtazamo mmoja kwamba suluhisho la kupata Fedha ni msaada na Mikopo, hakika watasifiwa sana kwa Sasa lakini madhara yake ni makubwa mno kwa baadae.
 
Mmeanza maujinga yenu.mimi sijui mnawaza kwa kutumia nini...Yaani mna uharo nyie watu kila mtu ana unafiki wa njaa wala hamna mapenzi na huyo mama ni Uharo wa njaa unakusumbua tu...Huyu Mama muacheni afanye kazi acheni njaa zenu hizi...
Kwani sifa zinamfanya mtu aongeze bidii au apunguze bidii
 
Pumbafu huu unafki wenu unalipeleka taifa kubaya acheni na unafki wa kuimba litania za masifu
 
Hili halina mjadala mama yuko vizuri sana ila kuna kitu kinawasukuma baadhi ya watu kumpa sifa yake
Mama piga kazi
Kazi iendelee
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Kama wewe unaona huna akili usidhan Tanzania nzima wana akili na ufaham kama wako, wapo watu wana karama za kutosha. Nyamaza brother.
 
ni Uharo mtupu ivi wewe kwa akili zako matope hii nchi toka mwaka 1961 mpaka leo chama gani kinatawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…