Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Uongo mtupu huu,ulioandika.Andika ukweli.Wananchi tunafurahi kuwa na Rais Samia,Raha sana.
 
Namkubali huyu rais lakini hizi pambio zenu zitamharibu.
Nyie waimba pambio tafadharini sana msije mkamharibu rais. Pambio zenu ziwe na kias.

Unasema karne utadhani wewe ni Mungu!
 
Kuna wakati kunyamaza inakuwa jibu zuri kuliko kusema. Ngoja tuwaachie wenye kukaanga mbuyu....
 
Umesahau,

Uhuru wa mahakama,
Demokrasia,
Uhuru wa kujieleza
Uhusiano kimataifa,
Ujenzi wa LNG
Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
Ujenzi wa SGR
ujenzi wa SG
Ataongeza ndege zingine 4,bila kuweka hili team ile bila kuona ndege huwa hawaridhiki.
 
Huo utaratibu wa kuongoza kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano usitiswe tu, anayeshinda uchaguzi atawale kwa miaka mitano tu, tuchague Rais mwingine.
Miaka kumi inatengeneza miungu watu wanaojiona kuwa watanzania zaidi kuliko Tanzania yenyewe.
 
Hata mwenda kuzimu mulimpa sifa hadi mka fika mahali mkamfananisha na Mungu.
Leo mnaona madudu aliyo fanya. Hata shetani haya fanyi kwa wanadamu. Samia nae naona mnaelekea huko huko. Maisha yamekuwa magumu bado mna mpa sifa za kijinga. Ifike mahali muamke. Acheni usifia ujinga
 
Chadema mnapenda mjazwe pesa mifukoni,ndilo tatizo lenu.
 
Mfuate Kuzimu huyo Dikteta ambaye unaamini umeme ulikuwa haukatiki na bei hazikupanda
 
Ilitoka takwimu kwenye kila watanzania 5 mmoja ni kichaa..

Na pia nimeamini illiteracy rate bado ni ya kiwango cha juu Tanzania
 
UPUMBAVU MTUPU
UPUMBAVU MTUPU
UPUMBAVU MTUPU
UPUMBAVU MTUPU
UPUMBAVU MTUPU.
Kwa taarifa yako, hata watoto wadogo wanajua kuwa, Rais wa pekee kabisa Tanzania na Afrika alikuwa ni MAGUFULI tu.Huyu ndo Rais anayeishi mioyoni mwa Watanzania.
Alisacrifice maisha yake kwa ajili ya sisi Watanzania Wanyonge.
Nyekundu itakuwa Nyekundu tu na Nyeupe itakuwa Nyeupe tu.
Hakuna mtu anayeweza kubadili hilo.
CHAPA ya kitu ikishapigwa mioyoni mwa watu ni nani anayeweza kuifuta. Hakuna kabisa.
 
Kwa Watanzania wasukuma sawa anaishi kwenye mioyo yenu. Kweli kuna Watanzania wapumbavu. Dubwasha tumelizika Chato tarehe 27/ 03/ 21 na sasa hivi ni chakula cha minyoo tu bado unadai anaishi kwenye mioyo yenu. Misukule wahaedi
 
Wacha kupotosha watu. Magufuli alikuwa anaharibu Nchi kwa vitendo vyake VIOVU. Laiti angekuwa mtetezi wa wanyonge asingeiba kura za Serikali za Mitaa zote za 2019 na za uchaguzi Mkuu wa 2020.

Mungu alijuwa na ALIKASIRISHWA na UFEDHULI wake ndiyo akaamua kuikomboa Tanzania kutoka kwa Shetani Dikteta na kuipeleka roho yake jehanam baada ya siku 114 toka aibe uchaguzi wote wa Oktoba 2020.
 
Kuna maswali najiuliza mbona kama wanasiasa wa tanzania baraz Wana uwezo mkubwa sana katka comedy kuliko hata politics Kuna haja yakua halalisha kua politics in tz is directly proportional to comedy [emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…