Never!Tutarajie....
Kushkuka kwa bei ya petrol.
Kushuka kwa bei ya mafuta kula.
Kupata punguzo la Kodi ya mitandao.
Kushuka kwa mobile transaction.
Kushuka kwa Kodi ya majengo.
Kushuka kwa kodi ya umeme REA.
Kuongezeka mvua nyingi na mazao.
Kuongezeka kwa uwajibukaji wa uma.
Hapo kwenye mvua tunahitaji maombi ya nguvu,Tutarajie....
Kushkuka kwa bei ya petrol.
Kushuka kwa bei ya mafuta kula...
Mvua haihitaji maombi bali ni kuwa na nidhamu katika mazingira yako na ya jamii kwa ujumla.Hapo kwenye mvua tunahitaji maombi ya nguvu,
Mungu ndio kila kituMvua haihitaji maombi bali ni kuwa na nidhamu katika mazingira yako na ya jamii kwa ujumla.
Acheni ukichaa!
Kwanini usilale ndani huyo Mungu akuletee mahitaji yako? Hebu acha wehu kijanaMungu ndio kila kitu
Tanzania mnahitaji fedha za kusaidia tabia nchi mfanye nazo kazi gani?Hiyo pesa imekuwa ikuzungumzwa kwa zaidi ya miaka 10 ika nchi zilizoendelea hawataki kuitoa ile zisaidie nchi maskini kupambana na mabadiliko ya tabia nchi waliyo sababisha
Tanzania mnahitaji fedha za kusaidia tabia nchi mfanye nazo kazi gani?
Mungu ni kila kituKwanini usilale ndani huyo Mungu akuletee mahitaji yako? Hebu acha wehu kijana