Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

Wazungu walitumia akili kututawala. Bila akili kubwa hatuwezi rudisha tulivyopoteza tulipotawaliwa. Pambana mama, Tz si kisiwa, tunawahitaji wanadunia wenzetu ila tuishi nao tukijua ni wapinzani wetu wetu kama ilivyo Yanga na Simba walivyo maadui wanaotegemeana.
Mama anapambana sana kurudisha vyetu,
Mungu amjalie afanikiwe,
 
====
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwawajumbe 197 wa baraza la 26 la Uhifadhi wa Mazingira duniani yaani COP26 linaloendelea na kikao chake cha Siku 12 Glasgow nchi Scotland chini ya Rais wale Bw Alok Sharma kwa uenyeji wa UK,
===
Lengo kuu la mkutano huu wa 26 nililelile tangu mwaka 1994 ambalo ni kujadili kwa pamoja namna ya kuendelea kuipunguza hewa ya ukaa ( Greenhouse gases) kwa 45% ifikapo 2030 ili kulileta Joto katika nyuzi joto 1.5'C za awali kabla ya ujio wa Viwanda kwa kuanzisha " zero carbon solution " ambayo hadi sasa imefikiwa kwa 25% tu duniani,
===
Greenhouse gases au hewa ya ukaa inatokana kwa kiasi kikubwa na kuungua kwa Carbon na Sulphur ambazo mara nyingi hutolewa kutoka kwenye moshi wa Viwandani, kwenye magari moshi, magari ya kawaida,mashine mbalimbali za makaa ya mawe et el,
===
Gesi hii ikifika juu ya anga inaharibu lile blanketi la dunia|ozone layer ( O3 ) kwa kulitoboa matundu ambayo yanaifanya miali ya Jua ipenye kirahisi na kuifikia dunia na hivyo kupandisha Joto la dunia ambalo nalo hubadili karibu kila kitu chini ya uso wa dunia ndio tunasema "mabadiliko ya tabia ya nchi " au Global warming effects
===
Hoja ya dunia kwa sasa ni kuondoa au kupunguza sana matumizi ya nishati zote zinazotoa Carbon na Sulphur yakiwemo mafuta aina zote ili kuiepusha dunia na kiama, zaidi ya 50% ya hewa yote ya ukaa inatolewa na China na Marekani,
===
COP21 iliyofanyika Paris Ufaransa mwaka 2015 wajumbe wote walikubaliana nchi zilizoendelea au zenye kipato cha juu ambazo according to World Bank ziko 81 zitoe pesa kiasi cha $100B karibu TZS 230 trilioni kwa kila mwaka kwa nchi masikini kama Tanzania ili nazo ziweze kukabiliana na mabadiliko ya " Tabia nchi "
===
Tanzania tunamradi wa kujenga SGR au reli ya Umeme ( Zero carbon project) wa zaidi ya km 1,800 kama tutacheza vizuri na hizi $100BL kama tulivyocheza na zile TZS 1.3trilioni za COVID-19 tunaweza kupata sapoti hii kwani kwa hesabu ya hara karibu kila nchi masikini italamba $1BL au TZS 2.3trilioni za bure kwa kila mwaka kwaajili ya kupambana na mabadiliko ya tambia nchi ambayo SGR ni mradi kipenzi cha "Zero Carbon Solution " hakika Rais Samia ni akili kubwa,
===
Taarifa hii iwasaidie wasiojua kwanini Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan yuko mwenyewe Scotland,kaeni mkao wa kutulia,

View attachment 1994484

View attachment 1994663
Hakika Mama unapambana sana
 
Asante kwa kutujuza. Japo manunda yanayopinga kila anachofanya Rais SSH yatakuja na pumba zao
 
Afrika inazalisha hewa ya ukaa 4% ....tena ni nchi mbili(SA ,Nigeria) zinazozalisha 90% ya hiyo 4%.....

Kwa kweli ninategemea wadau wataongeza "fungu" kwa ajili ya USIMAMAJI WA PAMOJA KAMA MATAIFA HURU💪

SIEMPRE JMT
 
Nyumba ziko kwenye Katiba kifungu cha masilahi ya Marais wastaafu. Acha kukurupuka kwa vile unataka kumpinga Samia tu
Sina sababu ya kumpinga Samia if anything I wish her well. I am trying to highlight that the relevant legislation should be reviewed such that our government awards retired Presidents residential houses on the basis of need and not want!!!
 
Bei ya Petrol ikishuka mazingira ndio yatazidi kuharibiwa, binadamu wanatakiwa watumie umeme wa jua, volcano na upepo zaidi kutunza mazingira.
Tutarajie....
Kushkuka kwa bei ya petrol.
Kushuka kwa bei ya mafuta kula.
Kupata punguzo la Kodi ya mitandao.
Kushuka kwa mobile transaction.
Kushuka kwa Kodi ya majengo.
Kushuka kwa kodi ya umeme REA.
Kuongezeka mvua nyingi na mazao.
Kuongezeka kwa uwajibukaji wa uma.
 
Back
Top Bottom