Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

Bei ya Petrol ikishuka mazingira ndio yatazidi kuharibiwa, binadamu wanatakiwa watumie umeme wa jua, volcano na upepo zaidi kutunza mazingira.
Umeeleza vizuri sana
 
Pale unapokua na jamii, kuanzia mwanainchi wa kawaida mpaka serikali wanaoamini wao hawawezi bila msaada na msaada ni haki yao, then una jamii iliyofail..no wonder watu wanajazana makanisani kuombewa utajiri..tumekua taifa la omba omba.
 
Afrika inazalisha hewa ya ukaa 4% ....tena ni nchi mbili(SA ,Nigeria) zinazozalisha 90% ya hiyo 4%.....

Kwa kweli ninategemea wadau wataongeza "fungu" kwa ajili ya USIMAMAJI WA PAMOJA KAMA MATAIFA HURU💪

SIEMPRE JMT
Good analysis mkuu,

Walete hizo pesa sisi tujenge SGR
 
Pale unapokua na jamii, kuanzia mwanainchi wa kawaida mpaka serikali wanaoamini wao hawawezi bila msaada na msaada ni haki yao, then una jamii iliyofail..no wonder watu wanajazana makanisani kuombewa utajiri..tumekua taifa la omba omba.
Wapi tumeomba hao matajiri watoe $100BL?

hili ni jambo la kidunia tuendelee kushikiana na Dunia
 
Bei ya Petrol ikishuka mazingira ndio yatazidi kuharibiwa, binadamu wanatakiwa watumie umeme wa jua, volcano na upepo zaidi kutunza mazingira.
Tatizo huko mashuleni mnakaririshwa mambo ambayo Tanzania bado sana hatujayafikia
 
Ujinga ni kufikiria bei ya petroli inaweza kushushwa na mkutano wa kutunza mazingira.

Back
Top Bottom