SoC04 Tanzania ibadili mfumo wa siasa ili kuchochea maendeleo

SoC04 Tanzania ibadili mfumo wa siasa ili kuchochea maendeleo

Tanzania Tuitakayo competition threads

wabby tz

New Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike.
Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue

Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama vyote vitakuwa na nafasi serikalini. Hii italeta ushindani na uwajibikaji wenye tija zaidi.

Tatu, masuala ya serikali yasiwe mlango wa kichama bali taifa liwe na milango yake na vyama vyote vinadi sera zao wakieleza namna ya kutimiza mpango huo.

Mwisho kabisa ukuzaji wa viwanda vidogo na vikubwa utiliwe mkazo na serikali itoe mitaji kwa watanzania ili iweze kuwa na walipa kodi wa uhakika.
 
Upvote 1
Back
Top Bottom