Tanzania iitake VOA kuomba Msamaha kwa habari yake ya Uzushi na Uongo

Acha ujinga wako hapa.kwa hiyo hapo ni wapi waliposema na kuonyesha kuwa tunagawa madini yetu na migodi yetu kama karanga za kuonja. Unaelewa maana ya ushirikiano? Au umekurupuka tu huko.
Wewe unaweza kushiriakana na Korea? Kwa ujuzi upi ulionao ?
Tanzania ina nini Hadi ishirikiane na Korea
 
Wachawi wanatusumbua tu, wangekuwa wanaroga KENGE kama hizi za kuitwa chawa, wangekuwa wanafanya la maana saana.

Peleka kikundu juu hizi chawa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.

Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.

Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.

Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.

Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.

Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.

Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.

Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Ndungai Aliona mbali CCM mnakopa mikopo ya kuliangamiza taifa
 
Muda utaongea 😄

Ila jamaa wanakuja kuwekeza bana na kuchuma si mchezo
Wenzetu wana mipango

Ova
 
Wewe LOFA usipende kushabikia UJINGA Kwa kitu ambacho hukijui.

Serikali yako hii ya kifala imekiri kuingia mikataba ya madini na Korea alafu wewe unakuja na upuuzi.
View attachment 3008346
President Yoon Suk Yeol met the leaders of Tanzania
: 2024-06-02 20:45:00

언어 변경하기
Change font
share
사진설명
사진 확대
On the 2nd, two days before the South Korea-Africa Summit in Seoul, President Yoon Suk Yeol is taking a commemorative photo with Tanzanian President Samia Suluhu Hasan before the South Korea-Tanzania summit held at the Presidential Office in Yongsan. Reporter Lee Seung-hwan.
President Yoon Suk Yeol, who entered the African summit diplomatic schedule, held a series of meetings with the leaders of Tanzania and Ethiopia on the 2nd to discuss cooperation measures such as expanding core mineral trade.

President Yoon met with Tanzanian President Samia Suluhu Hasan in the presidential office this afternoon to agree to start negotiations on the Economic Partnership (EPA) between the two countries, signed a memorandum of understanding (MOU) on the supply chain of key minerals, and even held a luncheon meeting. He also signed an MOU and held dinner meetings with Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed Ali.

"We are pleased to be the first African country to declare the start of EPA negotiations with Tanzania, and we hope that the agreement will be signed as soon as possible to contribute to diversifying trade items and increasing trade volume between the two countries," the president's office said in a statement after a luncheon meeting with the Tanzanian leaders later in the day.

President Yoon is conducting summit diplomacy with leaders of African countries ahead of the Korea-Africa Summit to be held on the 4th and 5th. 48 African countries have accepted the invitation to the summit, of which 25 top-level leaders are scheduled to visit Korea.

President Yoon also held an interview with AFP on the occasion of the summit. "Korea is a high-tech manufacturing powerhouse, but it relies on imports for more than 95% of its raw materials," President Yoon said in an interview. "We will lay the foundation for comprehensive cooperation such as exchange of information related to core minerals, technical cooperation, and joint exploration."

African countries are reportedly hoping to share Korea's experience of becoming an advanced country from a developing country in half a century and participate in various infrastructure construction.

[Reporter Ahn Junghoon]
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.

Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.

Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.

Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.

Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.

Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.

Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.

Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Pumbafu watu wakiusema ukweli mnaanza kulia Lia INCHI YETU INAUZWA NYIE MNASHANGILIA UCHAWA WENU UNALIGALIMU TAIFA MAFALA NYIE
 
Mimi si mjinga, mjinga ni wewe unayekariri kila kinachosemwa na mtawala, mwerevu huakiki kwanza, na mhakiki hana hakika, btw, nimekuwepo kipindi habari za kuuzwa kwa sehemu ya msitu wa loliondo zilipovuma, wahakiki tulisubiri, ila kama kawaida wakina Lucas Mwashambwa wa enzi hizo walikuwa mbogo!! Wakirusha maneno huko na huko kuwa mzee anasingiziwa,lakini mwisho historia ikatusha taji,, ulikuwa na miezi mingapi wakati wabunge walipokuwa wakibwatuka kama vichaa bungeni kuwa Wilbrod Slaa afunguliwe kesi ya uchochezi kwa kuibua madudu ya Richmond? Kama ulikuwa hujazaliwa(kiakili au kimwili) basi watafute waliokuwepo enzi hizo wakuelimishe kidogo, na uwaulize nani aliibuka mkweli kwenye sakata hilo, kwa hiyo nyie ma butt lickers mlikuwepo,na bado mpo tu,tumekuwa observers wa haya mambo long time back, NEVER say NEVER, kesho unaweza ukaaibika kama wengine ambao walilazimika kubadili ID zao hapa jf, time will tell.
Kama unashabikia na kushadadia uzushi na uongo wa VOA basi utakuwa na matatizo makubwa sana ndugu yangu
 
Wachawi wanatusumbua tu, wangekuwa wanaroga KENGE kama hizi za kuitwa chawa, wangekuwa wanafanya la maana saana.

Peleka kikundu juu hizi chawa.
Bila shaka umeishiwa hoja na hoja yangu imekupiga kwelikweli kichwani mwako mpaka umeishia kutukana matusi tu. Na bado naendelea kukushushia nyundo mpaka UFE
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.

Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.

Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.

Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.

Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.

Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.

Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.

Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
VOA habari zake ni za kuaminika sana
 
Kama unashabikia na kushadadia uzushi na uongo wa VOA basi utakuwa na matatizo makubwa sana ndugu yangu
Leo tutaelewana tu, hakuna popote niliposhadadia/kuunga mkono/wala kupinga chochote kuhusu jambo hili, nimesema bado ni mapema sana kukubali au kukanusha,nimekupa na mifano ya akina Zitto walivyotukanwa bungeni miaka hiyo kwa jambo ambalo lilikuja kudhihirika kuwa ni la kweli baadae, so its a bit too early to say yes, or No, punguza papara,utaaibika.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.

Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.

Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.

Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.

Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.

Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.

Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.

Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Unataka kudhalilika?
 
Hawa ni wahuni tu
 
Tuleteeni Mkataba tuusome tujue nani mkweli.

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom