Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Mimi ni msema kweli na siyo unafiki.Umemaliza kulamba miguu ya Kafulila umerudi kufanya mapambio ya mama,
Mungu akupe amani ya moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni msema kweli na siyo unafiki.Umemaliza kulamba miguu ya Kafulila umerudi kufanya mapambio ya mama,
Mungu akupe amani ya moyo.
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.
Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.
Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.
Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.
Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.
Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.
Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Duuh gazeti mkuu!Ndugu zangu Watanzania,

Ni lazima waombe msamaha kwa uzushi wao.na tayari wameanza kugeuza geuza maneno yao ya kizushi na kuichongaisha baada ya kuona wanashambuliwa kutoka kila sehemu.ngoja tuone itakuaje
Uthibitisho ni mkataba wenye unafuu wa mashartiUthibitisho wa unafuu huo na dhamana ni nini kwa taifa🤔
Hovyo sana,Wao wenyewe tu wameshindwa kujikomboa kutoka kwenye utumwa wa kifikra wa kuamini mtu mmoja aliyekiweka chama mfukoni mwake kama leso. Ma CHADEMA yanajijuwa yenyewe akili zao.
Wewe umekuwa msemaji wa nini na nani?Lucas umeshakuwa tena msemaji wa serikali?
Ukweli wa mikataba unaujua? Umeona? Umesoma?
Hivi kwanini wa Tz hatutaki kiutafuta ukweli badala ya kukurupuka?

Wewe ushasafishwa ubongo na CCM; yaani brainwashed, hivi wewe kwa akili zako unafikiri nani anasema uongo hapo? Serikali au VOA; halafu wewe umesikia Habari VOA Swahili. Umesoma outlets nyingine?Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.
Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.
Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.
Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.
Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.
Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.
Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Mimi ni mlipa Kodi tena mkubwa sitegemei UCHAWA kama wewe mke wa bashiteFanya kazi kuondoa shida zako na siyo kukaa na kushinda vibarazani ukipiga umbeya wako huku wenzako wakifanya kazi.
Akili yako ndogo sana na hujitambui kabisa wewe. Hujaona hao VOA wamerudi nyuma baada ya ukurupukaji wao wa awali?Wewe ushasafishwa ubongo na CCM; yaani brainwashed, hivi wewe kwa akili zako unafikiri nani anasema uongo hapo? Serikali au VOA; halafu wewe umesikia Habari VOA Swahili. Umesoma outlets nyingine?
Critically think; usitumie matako kufikiri; unapoenda Bank yoyote ya Tanzania ukitaka kukopa inabidi uonyeshe nini cha Kwanza? Lazima uonyeshe kuwa na uwezo wa kulipa mkopo. Ndiyo hivyo hivyo wakopeshaji wa Nchi wanavyofanya. Unaulizwa una nini kama ukishindwa kulipa; ndiyo hapo; Samia hawezi kukwambia; unafikiri hana akili ya kukudanganya wewe? Huko juu kila kitu kiko wazi.
Yaani unkifungua mafaili ya Ikulu uone ndiyo utajua; na hii ndiyo siri kubwa CCM hawawezi kuachia Nchi.
Tuko hivi Nchi yetu kwa sababu ya Wajinga kama nyie!!!!!!!!!!! Shenzi Taipu
Acha uongo wako hapa wewe mshinda vibarazani kupiga umbeya na uzushi.Mimi ni mlipa Kodi tena mkubwa sitegemei UCHAWA kama wewe mke wa bashite
Wewe ni zombie linalotembea. VOA Wanakusaidia utambue ujinga wa jimama wewe unaleta mambo ya kijinga. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.
Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.
Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.
Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.
Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.
Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.
Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Wewe hujawahi kuwa na akili hata siku moja.Wewe ni zombie linalotembea. VOA Wanakusaidia utambue ujinga wa jimama wewe unaleta mambo ya kijinga. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
Mshinda vibarazani ni wewe na mashoga wenzako hapo Lumumba buku7Acha uongo wako hapa wewe mshinda vibarazani kupiga umbeya na uzushi.
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.
Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.
Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.
Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.
Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.
Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.
Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Mimi nashinda kaziniMshinda vibarazani ni wewe na mashoga wenzako hapo Lumumba buku7