Tanzania iitake VOA kuomba Msamaha kwa habari yake ya Uzushi na Uongo

Hata ukijifanya hujui ila ukweli unao na vidampa wote walumumba mnakopa pesa zakutanua na wasanii wa bongo move
Nchi yetu na rasilimali zake zipo katika mikono salama ya Rais Samia.ndio maana Inaendelea kupaa kimaendeleo na kuendelea kuaminika kwa wadau mbalimbali wa maendeleo.
 
Miladi yote imekwama mpaka mwendo Kasi hazitembei ila machawa mnazidi kunenepa mnakura JASHO la watanzania ipi SIKU mtalipa hata kama sio nyinyi vizazi vyenu vitalipa sawa na matendo yenu
 
Miradi yote Inaendelea vizuri sana pasipo kukwama wala kusuasua.
 
Back
Top Bottom