PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Wewe unaweza kushiriakana na Korea? Kwa ujuzi upi ulionao ?Acha ujinga wako hapa.kwa hiyo hapo ni wapi waliposema na kuonyesha kuwa tunagawa madini yetu na migodi yetu kama karanga za kuonja. Unaelewa maana ya ushirikiano? Au umekurupuka tu huko.
Ndungai Aliona mbali CCM mnakopa mikopo ya kuliangamiza taifaNdugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.
Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.
Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.
Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.
Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.
Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.
Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
President Yoon Suk Yeol met the leaders of TanzaniaWewe LOFA usipende kushabikia UJINGA Kwa kitu ambacho hukijui.
Serikali yako hii ya kifala imekiri kuingia mikataba ya madini na Korea alafu wewe unakuja na upuuzi.
View attachment 3008346
Pumbafu watu wakiusema ukweli mnaanza kulia Lia INCHI YETU INAUZWA NYIE MNASHANGILIA UCHAWA WENU UNALIGALIMU TAIFA MAFALA NYIENdugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.
Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.
Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.
Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.
Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.
Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.
Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Kama unashabikia na kushadadia uzushi na uongo wa VOA basi utakuwa na matatizo makubwa sana ndugu yanguMimi si mjinga, mjinga ni wewe unayekariri kila kinachosemwa na mtawala, mwerevu huakiki kwanza, na mhakiki hana hakika, btw, nimekuwepo kipindi habari za kuuzwa kwa sehemu ya msitu wa loliondo zilipovuma, wahakiki tulisubiri, ila kama kawaida wakina Lucas Mwashambwa wa enzi hizo walikuwa mbogo!! Wakirusha maneno huko na huko kuwa mzee anasingiziwa,lakini mwisho historia ikatusha taji,, ulikuwa na miezi mingapi wakati wabunge walipokuwa wakibwatuka kama vichaa bungeni kuwa Wilbrod Slaa afunguliwe kesi ya uchochezi kwa kuibua madudu ya Richmond? Kama ulikuwa hujazaliwa(kiakili au kimwili) basi watafute waliokuwepo enzi hizo wakuelimishe kidogo, na uwaulize nani aliibuka mkweli kwenye sakata hilo, kwa hiyo nyie ma butt lickers mlikuwepo,na bado mpo tu,tumekuwa observers wa haya mambo long time back, NEVER say NEVER, kesho unaweza ukaaibika kama wengine ambao walilazimika kubadili ID zao hapa jf, time will tell.
Weka ushahidi wa huo ujinga wako wakulishwa na kukaririshwa kama kasuku.Pumbafu watu wakiusema ukweli mnaanza kulia Lia INCHI YETU INAUZWA NYIE MNASHANGILIA UCHAWA WENU UNALIGALIMU TAIFA MAFALA NYIE
Bila shaka umeishiwa hoja na hoja yangu imekupiga kwelikweli kichwani mwako mpaka umeishia kutukana matusi tu. Na bado naendelea kukushushia nyundo mpaka UFEWachawi wanatusumbua tu, wangekuwa wanaroga KENGE kama hizi za kuitwa chawa, wangekuwa wanafanya la maana saana.
Peleka kikundu juu hizi chawa.
VOA habari zake ni za kuaminika sanaNdugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.
Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.
Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.
Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.
Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.
Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.
Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Leo tutaelewana tu, hakuna popote niliposhadadia/kuunga mkono/wala kupinga chochote kuhusu jambo hili, nimesema bado ni mapema sana kukubali au kukanusha,nimekupa na mifano ya akina Zitto walivyotukanwa bungeni miaka hiyo kwa jambo ambalo lilikuja kudhihirika kuwa ni la kweli baadae, so its a bit too early to say yes, or No, punguza papara,utaaibika.Kama unashabikia na kushadadia uzushi na uongo wa VOA basi utakuwa na matatizo makubwa sana ndugu yangu
Hii mada iko juu ya uwezo wa akili yako na hutaki kurekebishwa.Wewe ndiye unaitumikisha akili yako vibaya sana.
Unataka kudhalilika?Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya kizushi, uongo, fitina, uchonganishi na yenye kuichafua serikali pamoja na Rais wetu.
Hii ni kwa kuwa kila mmoja anatambua kuwa habari iliyotolewa na VOA yaani Sauti ya Marekani ni ya uongo mkubwa sana, kwa kuwa mkataba uliosainiwa na Nchi yetu inahusisha mkopo wa masharti nafuu kabisa wa Dolla Billion 2.5. ambao utalipwa kwa muda wa miaka 40 na ambao riba yake ni 0.01% tu. Mkopo ambao utasaidia sana katika kuchochea kasi ya maendeleo na kuinua uchumi wetu kupitia miradi ambako pesa hizo zitawekezwa pamoja na kuzalisha fursa za maelfu ya ajira kwa vijana.
Ni Muhimu chombo hiki kiombe msamaha kwa propaganda zake chafu na zenye nia ovu ya kutaka kujenga taswira mbaya kwa serikali na Rais wetu. Ikumbukwe habari hii haijatolewa kwa bahati mbaya au kukosea, bali ni habari ambayo inalenga kuichonganisha serikali na wananchi pamoja na kutaka kumshushia heshima Rais wetu kwa watanzania ,hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutambua nguvu na Ushawishi mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.
Hii ni baada ya kuona kuwa Marekani kwa sasa Inaendelea kupoteza nguvu na ushawishi wake iliokuwa nayo pamoja na kuendelea kubomoka kwa ule ufalme wake na U Mungu mtu wa kuabudiwa na mataifa mbalimbali.
Sasa mataifa mengi yanaikimbia Marekani ambayo mikopo yake wakati mwingine imekuwa na masharti Magumu ambayo yanakwenda kinyume na mila na utamaduni wetu. kwa wao kusema ni sehemu ya haki za binadamu na kwamba tuziheshimu haki hizo na kuzilinda na kuwalinda watu hao.
Napenda kuwakumbusheni tu watanzania wenzangu kuwa hakuna mkataba ambao serikali yetu imesaini unaoitoa sehemu au kipande chochote kile cha bahari yetu, wala hakuna mahali popote pale ambapo mkataba umesainiwa ambao Unayatoa madini yetu au Mgodi wetu na kuwakabidhi Korea kusini, hakuna mkataba huo na hakuna sehemu yoyote ile penye masharti ya aina hiyo wala makubaliano ya namna hiyo.
Hii ndio sababu hata hao wazushi na wachonganishi na wafitini wameshindwa kabisa kabisa kuweka na kuonyesha sehemu au mahali au kipengele chochote kile cha mkataba kinachozungumza habari hizo za Uzushi na ufitini wa kutoa bahari na madini yetu kama sehemu ya masharti ya kupata pesa hizo takribani Trilioni 6.5.
Tuendelee kuwa na Imani na serikali yetu pamoja na Rais wetu kipenzi. Tukumbuke ya kuwa mahasimu wetu pamoja na washirika wao wameumia sana kwa sisi kupata mkopo huo wa masharti nafuu kabisa na wenye tija kubwa sana kwa ustawi wa Taifa letu na maendeleo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma:
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Hawa ni wahuni tuNdugu zangu Watanzania,

Kwa lipi? AdhalilikeUnataka kudhalilika?
Tuleteeni Mkataba tuusome tujue nani mkweli.Ndugu zangu Watanzania,

IPO SIKU mtatamani kuikimbia mama Tanzania na hamtakua na nafasi hiyo Mungu ni mwema sanaWeka ushahidi wa huo ujinga wako wakulishwa na kukaririshwa kama kasuku.
VOA wana kila kitu kuthibitisha maandishi yao mnataka waombe radhi kwa lipi?Kwa lipi? Adhalilike