Tanzania iitake VOA kuomba Msamaha kwa habari yake ya Uzushi na Uongo

Bwana lucas ifike pahala uwe unatumia ubongo wako wa kuzaliwa, tangu lini VOA wakaleta habari za uongo? Sisi sio wajinga na chawa kama wewe...
 
Hata ukijifanya hujui ila ukweli unao na vidampa wote walumumba mnakopa pesa zakutanua na wasanii wa bongo move
Nchi yetu na rasilimali zake zipo katika mikono salama ya Rais Samia.ndio maana Inaendelea kupaa kimaendeleo na kuendelea kuaminika kwa wadau mbalimbali wa maendeleo.
 
Uthibitisho wa unafuu huo na dhamana ni nini kwa taifa🤔
Inawezekana wewe unatakiwa kumwomba radhi aliye taka uzinduke toka usingizini na kundi lako☺️
 
Nchi yetu na rasilimali zake zipo katika mikono salama ya Rais Samia.ndio maana Inaendelea kupaa kimaendeleo na kuendelea kuaminika kwa wadau mbalimbali wa maendeleo.
Miladi yote imekwama mpaka mwendo Kasi hazitembei ila machawa mnazidi kunenepa mnakura JASHO la watanzania ipi SIKU mtalipa hata kama sio nyinyi vizazi vyenu vitalipa sawa na matendo yenu
 
Miladi yote imekwama mpaka mwendo Kasi hazitembei ila machawa mnazidi kunenepa mnakura JASHO la watanzania ipi SIKU mtalipa hata kama sio nyinyi vizazi vyenu vitalipa sawa na matendo yenu
Miradi yote Inaendelea vizuri sana pasipo kukwama wala kusuasua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…