Tanzania iitake VOA kuomba Msamaha kwa habari yake ya Uzushi na Uongo

Attachments

  • IMG_2630.jpeg
    176.9 KB · Views: 1
Tunawachora tu mmeifanya mama Tanzania kama gurio la CCM Kila mwana LUMUMBA kujimegea chake ya South Africa hayako mbali tena sisi tuna kata na kufunua wao si wame beep?
Utateseka sana na dua zako hizo za kuku. Tanzania itaendelea kupaa kimaendeleo na kunawili kimafanikio.
 
Kiufupi huyu mchambawima wa makunduchi kaiuza Nchi yetu.
 
Wekeni nyie kwanza huo mkataba ili kuwaumbua
Tuweke mkataba kwa mara ya ngapi? Mkataba ni wa Dolla Billion 2.5. utalipwa kwa Muda wa miaka 40. ni wa 0.01% na utaanza kulipwa baada ya miaka 26. Kwa taarifa yako hao VOA tayari wameanza kujikanyaga kanyaga baada ya kupata aibu na kushambuliwa na watu wengi kwa habari yao ya kizushi na uongo.
 
Chadema walivyo wapumbavu,wameanza kuunga mkono ujinga wa voa,yaani majamaa ni kama yamechanganyikiwa
 
Hata kama wewe ni kipofu ndio usisikie shida walizonazo watanzania basi wewe sio chawa tu ila ni kupe kabisa
Fanya kazi kuondoa shida zako na siyo kukaa na kushinda vibarazani ukipiga umbeya wako huku wenzako wakifanya kazi.
 
Chadema walivyo wapumbavu,wameanza kuunga mkono ujinga wa voa,yaani majamaa ni kama yamechanganyikiwa
Ma CHADEMA yamechanganyikiwa .yanarukia rukia kila kitu tu bila hata kufikiri au kutumia akili . Ndio maana lichama lao linaendelea kupuuzwa na watanzania kila uchwao.
 
Hi
Hivi wew mat*€o umewahi kuona wapi riba ya asalimia 0.01% .
Unakaa na kutona sisi wajinga sana sindio?

Yaaan unaandika vitu visivyo na msingi ukitegemea watu wakusifie na kukupa pongezi kumbe wanakuona hamnazo.
 
Ma CHADEMA yamechanganyikiwa .yanarukia rukia kila kitu tu bila hata kufikiri au kutumia akili . Ndio maana lichama lao linaendelea kupuuzwa na watanzania kila uchwao.
Yule mwehu Lissu yupo huko eti analala kwenye katenti ka magunia,anadanganya wenzie ataleta ukombozi,yaani chama chao kimegawanyika sana kuliko wakati wowote ule.
 
Pambana tu huko huko kwenu Matombo, huku Dar teuzi zimeisha
 
Yule mwehu Lissu yupo huko eti analala kwenye katenti ka magunia,anadanganya wenzie ataleta ukombozi,yaani chama chao kimegawanyika sana kuliko wakati wowote ule.
Wao wenyewe tu wameshindwa kujikomboa kutoka kwenye utumwa wa kifikra wa kuamini mtu mmoja aliyekiweka chama mfukoni mwake kama leso. Ma CHADEMA yanajijuwa yenyewe akili zao.
 
Umemaliza kulamba miguu ya Kafulila umerudi kufanya mapambio ya mama,
Mungu akupe amani ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…