Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za Kiafrika ni za Mashariki ya Kati.
Vita vyote vinavyopiganwa Afrika hivi sasa vina mkono wa UAE, Yemen, Iran, Egypt, Saudi Arabia, Oman, Lebanon, Syria nk. Hata vita huko Afghanistan na Pakistan ni nchi hizo hizo zinafadhili.
Mbaya zaidi wanatumia itikadi kali za kidini kupata uungwaji mkono na baadhi ya viongozi na wananchi wa nchi husika.
Ni vema Serikali yetu ikachukuwa tahadhari kubwa kila inapoingia mikataba na nchi hizi kwani ni hatari kwa mustakabali wa ustawi wa nchi yetu!