Hata waliozaliwa wafe,tuwapate wazaliwa wengine,ndiyo hoja yakoIli Tanzania isonge mbele inabidi kutokee namna fulani vyama vyote vya siasa vifutwe na wanasiasa waliopo sahivi wote kwa ujumla wao wazuie kujihusisha na siasa wala kuteuliwa ama kuchaguliwa.
Pili wafanyakazi wa umma wafutwe wote, waajiriwe wapya tuanze upya. Wafanyakazi wataobaki wawe wanajeshi tu.
Hata waliozaliwa wafe,tuwapate wazaliwa wengine,ndiyo hoja yako
Kilikuwepo CCM ama TANU.Kabla havikuwepo mbona haikuendelea
Siyo kufuta wanasiasa ni ku ban wanasiasa waliopo na kufuta vyama vyote vya siasa vilivyopo, wasajiri wapya.Kifaa gan kitumike kufuta wanasiasa!?
Na chama kiwepo kipya kianze kuongoza upyaaa au nasema uongo ndugu yang!!Ili Tanzania isonge mbele inabidi kutokee namna fulani vyama vyote vya siasa vifutwe na wanasiasa waliopo sahivi wote kwa ujumla wao wazuie kujihusisha na siasa wala kuteuliwa ama kuchaguliwa.
Pili wafanyakazi wa umma wafutwe wote, waajiriwe wapya tuanze upya. Wafanyakazi wataobaki wawe wanajeshi tu.