Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni milionea bro kwa maana hiyoMillionaire: a person whose assets worth one million £/$ or more.
Hongera sana.mimi ni milionea bro kwa maana hiyo
Kea mujibu wa wazungu uko kwao, jamaa kasema kibongo bongo.Millionaire: a person whose assets worth one million £/$ or more.
Tzs 2.4b 😎Ndio shilingi ngapi za kitanzania
Milioni mojaHata siwasalimii maana salamu zenyewe za kwenye nyuzi sijawahi kuona zikijibiwa (joking)
Twende moja kwa moja kwenye mada! Swali langu ni hivi kibongobongo ili aitwe milionea anatakiwa awe na pesa kuanzia kiasi gani kiujumla?
Kimarekanimarekani watasema ni ElfuoneaBado sana mkuu, nikijumlisha viwanja vyangu na savings zangu na vitu vyangu vya ndani na gari nadhani nafukuzia 100m, so mimi ni lakionea tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana wapo wengi tu. 1 mil usd ni average price ya nyumba inayoeleweka Masaki so wengi tu wanazo.Duuh kwahiyo ina maana Tanzania tuna mabilionea wawili tu aseee
Yeah hapo uko sawaNimesema mabilionea. Kwa maana kwamba 1B USD ni sawa na 2.3T TZS hivyo bongo tuna mabilionea wawili tu.