Tanzania ili uitwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kuanzia kiasi gani?

Tanzania ili uitwe milionea unatakiwa kuwa na pesa kuanzia kiasi gani?

Uwe na mali zenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 1 bila madeni
 
Nadhani kwa kwetu hatujawahi kuweka au kuwa na Official Standards furani furani za kupima utajiri wa mtu for classification ya u'millionea na u'billionea.
 
Mbongo akiwa na ml 100 anajiona tajiriii atleast ml600 bila madeni,maana iyo ml mia ukijenga hata chenji ya gari haitoshi
 
Hata siwasalimii maana salamu zenyewe za kwenye nyuzi sijawahi kuona zikijibiwa (joking)

Twende moja kwa moja kwenye mada! Swali langu ni hivi kibongobongo ili aitwe milionea anatakiwa awe na pesa kuanzia kiasi gani kiujumla?
Milioni moja
 
A millionaire is an individual whose net worth or wealth is equal to or exceeds one million units of currency. Depending on the currency, a certain level of prestige is associated with being a millionaire
 
Bado sana mkuu, nikijumlisha viwanja vyangu na savings zangu na vitu vyangu vya ndani na gari nadhani nafukuzia 100m, so mimi ni lakionea tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kimarekanimarekani watasema ni Elfuonea
 
Hapana wapo wengi tu. 1 mil usd ni average price ya nyumba inayoeleweka Masaki so wengi tu wanazo.
Nimesema mabilionea. Kwa maana kwamba 1B USD ni sawa na 2.3T TZS hivyo bongo tuna mabilionea wawili tu.
 
Back
Top Bottom