Tanzania imara itajengwa na Vijana wenye Uzalendo na Mapenzi kwa nchi yao

Tanzania imara itajengwa na Vijana wenye Uzalendo na Mapenzi kwa nchi yao

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
IMG-20260516-WA0141.jpg


Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini TAHLISO wameamuakupaza sauti na kusema #NeverAgain kwa machafuko na uharibifu.

Kwa pamoja Tuipende, Tuitunze na Tuilinde nchi yetu.
 
Endeleeni kutumika... Baada ya kuhitimu mtaelewa somo
 
View attachment 3589473

Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini TAHLISO wameamuakupaza sauti na kusema #NeverAgain kwa machafuko na uharibifu.

Kwa pamoja Tuipende, Tuitunze na Tuilinde nchi yetu.
Na kwa wivu na mapenzi makubwa na ya dhati sana kwa mama Tanzania,
tutaijenga na kuilinda nchi yetu kwa nguvu zetu zote na kwa gharama yoyote ile.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabariki vijana wote wazalendo wa Tanzania, Aimen 👏
 
Vijana matahira hao, uwezi kuwasikia wakiwakemea Tume ya uchaguzi kwanini wanaengua wagombea wala kwanini wakurugenzi hawaapishi mawakala wa vyama wakati wa uchaguzi. Wamebaki kama mbayuwayu.
Kijana wangu akionekana anashiriki kwenye jumuiya ya kipuuzi namna hii anarudi kukaa nyumbani make Ada sitamlipia tena, akachunge ng'ombe ndiyo itakuwa saizi yake.
 
1.Alie leta machafuko ni nani?

2. Alie ua watanzania ni nani?

3. Aliye tumia risasi za moto ni nani?

4. Maiti za walio uwawa ziko wapi?

5. Kama maiti haziku kutwa barabarani baada ya machafuko, alie ziondoa ni nani?
 
Back
Top Bottom