Vijana matahira hao, uwezi kuwasikia wakiwakemea Tume ya uchaguzi kwanini wanaengua wagombea wala kwanini wakurugenzi hawaapishi mawakala wa vyama wakati wa uchaguzi. Wamebaki kama mbayuwayu.
Kijana wangu akionekana anashiriki kwenye jumuiya ya kipuuzi namna hii anarudi kukaa nyumbani make Ada sitamlipia tena, akachunge ng'ombe ndiyo itakuwa saizi yake.