Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)



Huko kazini kwako hakuna vikao? Kwanini usilizungumze kwenye vikao vyenu? Ukituambia sisi tuna nguvu gani ya kubadili mambo yaliyopo kwenye ngazi ya utekelezaji? Ni nani amekutuma kuja kulalamika kwetu? Kama ninyi kwa ninyi mmekosa kuongea lugha moja huko ndani, je sisi wa nje tutaielewa lugha iliyowashinda ninyi wa ndani?
 
Je kutakuwa na barabara za kisasa zinazounganisha miji mikubwa na midogo kama Kibaha, Morogoro, Mpwapwa, Kilosa, Chalinze nk kwenda kwenye vituo vya reli hiyo?
Haaaa sahv umeamia kwenye barabara
 
Je kutakuwa na barabara za kisasa zinazounganisha miji mikubwa na midogo kama Kibaha, Morogoro, Mpwapwa, Kilosa, Chalinze nk kwenda kwenye vituo vya reli hiyo?
Mkuu Lazima Kuwa Barabara
 
Vile vile Eng. Rukuku hii dhana ya kusema kwamba watatumia locomotives za umeme kwa wingii zaidi naona kama haija kaa katika ukweli sanaa maana kutumia Diesel electric locomotives ni nafuu zaidi ya electric locomotives katika freight katika passengers sina wasiwasi kabisa kwasababu kuvuta behewa la ekseli ya 35 siyo mchezo eti
 
watachanganya Electric na disel
 
Sina uhakika kama kweli unafanya kazi kwenye mradi wa SGR ukiajiriwa na YM.
Naomba unijibu maswali haya:
Station ya Soga iko chainage gani? Status ya design na construction ya Soga station ikoje? Yaani nini kimefanyika mpaka sasa kwenye station ya Soga? Ujenzi wa hii station unaendelea au hauendelei?

Nitajie angalau majina matatu ya construction managers [YM] waliopo Soga.
Site engineers wa kitanzania ambao mmeajiriwa na YM mko wangapi? Wanaofanya earthworks ni wangapi? Walioko structures ni wangapi?

Ukinijibu maswali haya vema, nitajua kweli wewe engineer uko kwenye mradi wa SGR ukifanya kazi YM.
Mengine nitakuhoji inbox!
 
Kwani uliambiwa stations ndizo tutakazopanda? Acha majungu ...kama usemayo ni kweli na si majungu weka jina lako halisi. Umeshindwa kuiba unakuja kuleta majungu
Huyo siyo engineer, asikuzubaishe na hajaajiriwa naYM.
 
Huyo haajiriwa kwenye mradi wa SGR. Kama ni kweli anijibu maswali niliyomuuliza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…