Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Jinga kweli wewe yaani nikujibu maswali yote ili unigundue....,muulize Kadogosa, Katalaya, Mgezi, Sitivin Sahani watakuambia me ni nan
Nimekugundua, wewe ni yule ambaye ulikuwa unajifanya mtetezi wa wafanyakazi ambaye kazi yako halisi ni udereva. Mkataba wa kazi uliosaini uliisha mwezi wa 8, 2018 wakataka kukunyima mkataba mwingine. Kwa hiyo una hasira na mwajiri wako [YM].
Pia huwa unapenda kujifanya (na kusema) upo karibu sana na Kadogosa [TRC - DG].
Una bahati sana ungefukuzwa kazi kama yule mdada (rafiki yako) mwenye asili ya Mombasa aliyekuwa na tabia za wizi. Usipojirekebisha utafuata njia ya huyo dada yako.
 
Kenya walijipanga kwa kujenga majengo ya vituo vyao vya garimoshi vyenye mvuto na nafasi ya kutosha. Hawana tofauti kubwa katika ujenzi huo ukilinganisha na vituo vyetu vilivyojengwa kwenye reli ya TAZARA na hasa Dar es salaam na Kapirimposhi. Vituo vilivyojengwa kwenye reli ya TAZARA pamoja na uzuri wake na nafasi ya kutosha kwa wakati huo, historia imethibitisha kuwa havikuwahi kutumika kama ilivyotarajiwa. Kama kwenye reli mpya wameona umuhimu wa kujenga vituo kulingana na uhitaji, nadhani ni jambo la heri, kuliko kuweka kituo chenye hadhi kubwa na badaaye kutotumika kikamilifu.
 
Station za treni za katikati hazina haja ya kuwa kubwa kwani hakuna mizigo mingi wala wasafiri wengi, station za kwenye miji ndio huwa zinakuwa na wasafiri na mizigo mingi na kuna haja ziwe kubwa.Jaribu kufuatilia station kubwa za wakoloni za katikati, ukiangalia baadhi zilijengwa kwa majengo makubwa kwa kuangalia wingi wa wasafiri au shuguli ya kiuchumi ya sehemu husika na si kuwa zilijengwa zote kubwa bila ya sababu...
Tatizo la sisi ngozi nyeusi tuna mipango ya muda mfupi sana..yaani tunawaza hatua moja.
Unazungumzia stesheni za miaka 50 nyuma badala ya kuzungumzia miaka 80 mbele itakuaje?..
Kweli bongo nyoso.
 
Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.

Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.

Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.

Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.

Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.

N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.

Engineer,
Rukuku boy
Mkuu, ulitaka zifanane na za wapi?
Kwann unadhani stations zisifanane na tanzanite ama kilemba cha mwanamke?
Kwa mtazamo wangu, huyo alotoa wazo la kujenga majengo yenye uhalisia na utanzania yuko sawa.

Hata kama ingekua design ya nyumba za wagogo Dodoma sawa as long as zinameet needs
 
Sahihisha, sema CCM imefeli na si Tanzania; kwani walitushirikisha kabla ya ujenzi?
 
Nimekugundua, wewe ni yule ambaye ulikuwa unajifanya mtetezi wa wafanyakazi ambaye kazi yako halisi ni udereva. Mkataba wa kazi uliosaini uliisha mwezi wa 8, 2018 wakataka kukunyima mkataba mwingine. Kwa hiyo una hasira na mwajiri wako [YM].
Pia huwa unapenda kujifanya (na kusema) upo karibu sana na Kadogosa [TRC - DG].
Una bahati sana ungefukuzwa kazi kama yule mdada (rafiki yako) mwenye asili ya Mombasa aliyekuwa na tabia za wizi. Usipojirekebisha utafuata njia ya huyo dada yako.
Haaaaaaaaaaaaa unaumwa wewe mungu ananiona me sio dereva, na ukimsingizia huyo jamaa wakamfukuza kazi hakika utakuwa umechuma zambi ya bure me sio dereva na haitatokea
 
Mleta mada kakimbia maswali yangu. Hayuko kwenye mradi wa SGR ila amefanikiwa kuwazubaisha wengi isipokuwa mimi.
Yaani ulivyopanic nimekushka koni kwelikweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ishu huwa ni makadirio ya abiria wanaotarajiwa kutumia kituo husika ndani ya mwaka mmoja, na wakifanya makadirio ya viashiria mbalimbali kwa eneo husika mfano ongezeko la idadi ya watu kwa miaka mingi ijayo nk, je mhandisi hukulijua, hukufikiri hilo na mmeangalia vingne kama hvyo, au changa ? hvyo n vtu vya waz tu hata mimi Tchao muuza nyanya naviona
 
Kama hujaweka picha basi huu uzi na mleta uzi list ya konki konki konki master inawahusu
 
Unapoleta hoja nzito kama hizi, inayogusa watanzania wote, inaileta kama mipasho ya khadija kopa halafu unajiita mhandisi, unatuvunja moyo na kutusononesha, hasa watu walio kwenye fani za uhandisi.

Kwa nini usije na architectural evidence, kwa nini usilete hoja iliyo kamili. Ujuwe uhandisi sio porojo mkuu!!
 
Mleta mada kakimbia maswali yangu. Hayuko kwenye mradi wa SGR ila amefanikiwa kuwazubaisha wengi isipokuwa mimi.
Huu uzi utakuwa umeletwa na mashabiki wa Kenya maana majibu yangu kwa mdau yamepelekwa kwenye ile ligi ya nani zaidi kati ya Kenya na Tanzania.. kule watu wazima wanatishiana wanasesere kama watoto.
 
Back
Top Bottom