The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Dah haya madini na nondo unazoshusha injinia ni za hatari aisee.Onyesha ni wapi nime~panic kwenye maelezo yangu. Au hujui maana ya ku~panic?
Wewe siyo engineer na wala siyo site engineer kwenye mradi wa sgr.
Maswali ya mwisho:
Material yanayotumika kujengea tuta yana cbr ngapi?
Yale mawe yanayotumika kwenye ujenzi yanatoka wapi?
Sub contractor anayefanya kazi kuanzia km 68+900 hadi km 77+800 anaitwaje?
Earthwork chief [YM] anaitwa nani?
Team iliyofanya kazi ya earthwork kuanzia km 62+900 hadi km 64+800 ilitoka wapi na sasa hivi iko wapi?
Taja majina angalau ma3 ya mainjinia wanaofanya kazi upande wa consultant wanaokagua kazi mnazofanya [mkandarasi].
Leo umeingia choo cha kike!
Weka vocha kwenye simu yako ama agizia chochote leo kisichozidi 50K nitalipa