Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Tuliza mshono kijana nina sifa za kutosha sijabebwa na mbwa koko
Mbona mapovu?
Unapotekeleza project fulani hivi na ikaonekana hiyo project ni ya kijinga basi wanaotekeleza hiyo project ndo wajinga zaidi.
Nafikiri umeshajifahamu upo kundi gani.
 
Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.

Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.

Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.

Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.

Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.

N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.

Engineer,
Rukuku boy
mkuu hio gharama ya 3.2b ni sahihi kweli?....

nauliza tu km mtanzania mzalendo! tusijeambiwa mbeleni gharama ilikua zaidi km zile hostel za expansion joint
 
Wasafiri hawataki mbwembwe..Cha msingi huduma ya SGR yenyewe ndio iwe bora.
Mambo majengo sijui yawe vile sijui hivi,kwani tunalala hapo?
mkuu ubora wa majengo ni mhimu aisee tusidanganyane!
 
Kama kweli hayo mambo yanakukera ungeondoka huko kwani kwa kutuambia sisi ulikuwa unatakaje?Kwa kweli umejidharaulisha sana kwani hustahili hata kuwepo huko maana unaweza hata ukafanya sabotage.
acha ujinga wewe..... aondoke kisa nini?

hebu komaa akili wewe
 
Suala siyo kubebwa . Hivi nikuulize swali- Iwapo wewe unajenga nyumba yako halafu anatokea mfanyakazi wako wa ndani anaiponda nyumba hiyo akiwa kijiweni na washikaji zake utamfanya nini?
km raman ni mbaya ana haki kuiponda!
 
Mnapinga ila ukweli ndo huo Yapi Merkez kwenye station hayupo vizuri angalia alichowafanyia ethiopia hadi humuhumu watu waliziponda station za Ethiopia ila wewe uliyesoma political science unajifanya unajua
Empty set
mkuu wabongo kwa ubishi hatujambo!
 
Katika kukurupuka kila mtu atapenda awe designer wa railway stations badala ya kufuata established guidelines. Nchi yetu haithamini taaluma. Ni kujuana au kulindana.
 
Watu wameviona kwenye reli TV bado wamepinga station hizo we unabwabwaja tuView attachment 952171View attachment 952172
Kwenye replies zangu kwenye mada yako nilijikita kwanza uthibitishe kwamba wewe ni site engineer []
Angalia watu walivyoponda vituo baada ya Ben mwanantala kuweka video ulnionesha hivyo vituoView attachment 952157View attachment 952158
Thibitisha kwanza kwamba wewe ni site engineer kwenye mradi huu. Mbona umeshindwa kufanya hivyo? Huna lolote wewe, endeleeni na majungu yenu ila sisi tunaendelea kupiga kazi!
 
Kiongozi ungetuwekea picha basi tuone maana wewe si upo jikoni huko haa haa,ili tulinganishe na za jirani
Yuko jikoni wapii?
Amejiita site engineer kwenye mradi ili aaminike yale anayosema! Siyo site engineer huyo wala siyo engineer.
 
Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.

Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.

Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.

Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.

Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.

N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.

Engineer,
Rukuku boy

UFAFANUZI
TRC inapenda kutolea ufafanuzi taarifa zinazosambaa kwenye mtandao wa Jamii Forum kuhusu Stesheni za Reli ya Kisasa.

Watanzania waliopo kwenye Mradi wanafanya kazi kwa bidii na nidhamu ya hali ya juu, aidha wakati wa kusanifu Majengo ya Stesheni za SGR yaliletwa majengo sanifu mengi ya aina mbali mbali ili Shirika lione ubunifu wa mawazo, lakini pia wasanifu (Designer) wa kituruki na watanzania wanapata wapi muongozo wa kimawazo, wa kuja na wazo linalowakilisha mazingira ya kitanzania, hii ni fikra ya kujitegemea na ndiyo maana hata Reli yenyewe tunajenga kwa pesa yetu sisi watanzania.

Usanifu wa Stesheni na ukubwa huwa tofauti kulingana na matumizi, idadi ya watu wanaotegemea kutumia stesheni husika, kwa mfano stesheni ya Ruvu au Soga haitegemewi ifanane na Stesheni ya Morogoro;

Nchi mbalimbali Duniani, hasa Barani Ulaya, Stesheni za treni za abiria za masafa marefu ambazo ziko nje kidogo ya miji (up country stations) huwa na ukubwa wa kawaida na zinakidhi mahitaji ya watu ya eneo lile,

lakini yawezekana ukienda nchi za Asia kama india au China miundo yao ni tofauti, kijiji kidogo China kinaweza kuwa na idadi ya watu zaidi ya Millioni moja hadi mbili, wazo lao la usanifu kutoka nchi hivyo hasa swala la ukubwa wa stesheni inaweza kuwa tofauti, kuendana sambamba na Mazingira yao, kwa mazingira ya Tanzania kutumia mawazo kama ya nchi hizo ni matumizi mabaya ya pesa za umma, na hilo halitakaa litokee kwa TRC ya sasa.
Ushauri kwa wahandisi katika Jukwaa hili kuwa wazalendo kwa taifa lao, mtu mwema mwenye msimamo na uzalendo anakaribishwa ofisi za TRC kutoa mawazo ya kisanifu, mwisho mchakato wa kukubali miundo ya Stesheni haukuwa mwepesi kama baadhi yetu tunavyofikiri, ilijumuisha wadau mbali mbali ikiwemo Wasanifu wazoefu na wazuri hapa nchini, na wadau mbali ambao watatumia stesheni zetu kwenye biashara zao.

05.jpg
pUGU 2.jpg
pUGU 1.png
Moro 1.jpg
Moro 3.jpg
 
Attachments

  • 02.jpg
    02.jpg
    147.5 KB · Views: 56

View attachment 953009View attachment 953010View attachment 953011View attachment 953012View attachment 953013
Mmeweka video Kwenye TRC reli TV ila watanzania wengi wamesema vituo ni vibaya jiulize why watu wavipinge
 
Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.

Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.

Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.

Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.

Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.

N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.

Engineer,
Rukuku boy
Unasema we ni engineer unahusika kambi ipi??? Mana me pia ni engineering kipande cha dar Moro kambi ya dar
 
Back
Top Bottom