Huyo nimemhoji maswali kibao ili athibitishe kama kweli ni site engineer kwenye huu mradi lakini kala kona!Unasema we ni engineer unahusika kambi ipi??? Mana me pia ni engineer kipande cha dar Moro kambi ya dar
Ni mpumbavu sana huyo na kenge asiye na sehemu za siri...anafikili/kuzani wote ni nyumbu kama yeye.Huyo nimemhoji maswali kibao ili athibitishe kama kweli ni site engineer kwenye huu mradi lakini kala kona!
Fuatilia posts zangu uone maswali yenyewe. Kwa mtu aliyeko saiti hatashindwa maswali hayo.
Hajui hata cbr ya earthwork fill material inayotumika kujengea tuta.
Ahsante sana mkuu kwa kutambua bidii yetu na uzalendo wetu katika kulitumikia taifa kwenye mradi huu. Nakumbuka kipindi kile contractor alipoanza kufanya kazi usiku na mchana, kutokana na idadi yetu ilivyokuwa tulifanya kazi usiku na mchana. Haikuwa rahisi lakini tuliweza.UFAFANUZI
TRC inapenda kutolea ufafanuzi taarifa zinazosambaa kwenye mtandao wa Jamii Forum kuhusu Stesheni za Reli ya Kisasa.
Watanzania waliopo kwenye Mradi wanafanya kazi kwa bidii na nidhamu ya hali ya juu, aidha wakati wa kusanifu Majengo ya Stesheni za SGR yaliletwa majengo sanifu mengi ya aina mbali mbali ili Shirika lione ubunifu wa mawazo, lakini pia wasanifu (Designer) wa kituruki na watanzania wanapata wapi muongozo wa kimawazo, wa kuja na wazo linalowakilisha mazingira ya kitanzania, hii ni fikra ya kujitegemea na ndiyo maana hata Reli yenyewe tunajenga kwa pesa yetu sisi watanzania.
Usanifu wa Stesheni na ukubwa huwa tofauti kulingana na matumizi, idadi ya watu wanaotegemea kutumia stesheni husika, kwa mfano stesheni ya Ruvu au Soga haitegemewi ifanane na Stesheni ya Morogoro;
Nchi mbalimbali Duniani, hasa Barani Ulaya, Stesheni za treni za abiria za masafa marefu ambazo ziko nje kidogo ya miji (up country stations) huwa na ukubwa wa kawaida na zinakidhi mahitaji ya watu ya eneo lile,
lakini yawezekana ukienda nchi za Asia kama india au China miundo yao ni tofauti, kijiji kidogo China kinaweza kuwa na idadi ya watu zaidi ya Millioni moja hadi mbili, wazo lao la usanifu kutoka nchi hivyo hasa swala la ukubwa wa stesheni inaweza kuwa tofauti, kuendana sambamba na Mazingira yao, kwa mazingira ya Tanzania kutumia mawazo kama ya nchi hizo ni matumizi mabaya ya pesa za umma, na hilo halitakaa litokee kwa TRC ya sasa.
Ushauri kwa wahandisi katika Jukwaa hili kuwa wazalendo kwa taifa lao, mtu mwema mwenye msimamo na uzalendo anakaribishwa ofisi za TRC kutoa mawazo ya kisanifu, mwisho mchakato wa kukubali miundo ya Stesheni haukuwa mwepesi kama baadhi yetu tunavyofikiri, ilijumuisha wadau mbali mbali ikiwemo Wasanifu wazoefu na wazuri hapa nchini, na wadau mbali ambao watatumia stesheni zetu kwenye biashara zao.
View attachment 953009View attachment 953010View attachment 953011View attachment 953012View attachment 953013
Usijali ndugu yangu, hapa JF asilimia 95 au zaidi ni maadui wa maendeleo ya Tanzania kwa vile wanamchukia JPM. Chuki yao ni husda tu maana jamaa anachanja mbuga. Kusema za ukweli akifanikiwa vitu viwili SGR na umeme vyote vya bei halali bila kuweka cha juu! Ataacha legacy kiboko! Wabaya wake hawapendi afanikiwe ndo maana nyuzi zao ni uharo mtupu! Hao watu ni akina Salary Slip Quinine Mwanahabari Huru etc! Inaumiza ila tujitahidi kuwavumilia na pia tumuombee JPM asipatwe na jambo lolote ili akamilishe miradi hii miwili na barabara katika kipindi chake cha miaka 7 iliyobaki la sivyo yatakuwa ya Karume na nyumba ambazo zimemelizika juzi tuNi mpumbavu sana huyo na kenge asiye na sehemu za siri...anafikili/kuzani wote ni nyumbu kama yeye.
Weka pichaWakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.
Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.
Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.
Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.
N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.
Engineer,
Rukuku boy
Usanifu na Ujenzi wa Vituo, umezingatia Matumizi ya pesa za Wananchi kama ufafanuzi ulivyotolewa. Pia Usanifu na Ujenzi wa Vituo umezingatia kuwa mahitaji kwa siku za mbeleni yanaweza ongezeka hivyo miundominu ya vituo hivyo ni rafiki kwa ajili ya kupanua na kuongeza ukubwa wa vituo hivyo.Mmeweka video Kwenye TRC reli TV ila watanzania wengi wamesema vituo ni vibaya jiulize why watu wavipinge
Hahahahahaha umenkumbusha hotuba ya baba wa taifa mwl JK Nyererekwanini unavujisha mipango ya nchi.? nakuadhibu kifungo cha miaka 5 na bakora 12 uingiapo na utokapo jela.!
Kwa yeyote ambaye anaufahamu wa mambo ya corporate, huyu jamaa amekiuka misingi yake .km raman ni mbaya ana haki kuiponda!
Please fuatilia comments zangu kuhusu hii mada. Jamaa kala kona baada ya kuona maswali yangu.Kwa yeyote ambaye anaufahamu wa mambo ya corporate, huyu jamaa amekiuka misingi yake .
Inawezekana maoni yake ni tofauti na wenzake sasa yeye baada ya kuona his point of view haikutiliwa maanani anakuja kwetu. Hili siyo sawa. Kama kweli huyu jamaa ni engineer na bado yupo kwenye hiyo project basi atajikuta pole pole anaachwa na mwisho wa siku atakuwa frustrated.
Whistle blowers huwa hawana nafasi kwenye corportates.
Mfano halisi ni kama vile huyu ndugu yetu angekuwa kwenye CC ya CCM au CDM, halafu akatoa hadharani mambo ambayo ameshindwa kuyajengea hoja kwenye vikao stahili wangemfanya nini?
Ha ha ha ha Ningestaajabu sana kama huyu jamaa ni engineer kweli , ameajiriwa kwenye mradi huu na kuweza kusema aliyoyasema.Please fuatilia comments zangu kuhusu hii mada. Jamaa kala kona baada ya kuona maswali yangu.
In short huyo jamaa siyo engineer na hayuko kwenye mradi wa sgr.
Hivi hiyo design imetolewa na Merkez?Mnapinga ila ukweli ndo huo Yapi Merkez kwenye station hayupo vizuri angalia alichowafanyia ethiopia hadi humuhumu watu waliziponda station za Ethiopia ila wewe uliyesoma political science unajifanya unajua
Empty set
Uzalendo ni pamoja na kufichua maovu. Di kusifia muda wote.
Kama una undugu na Mungu sawa. Lakin laana zako huwa xinaishia jfWewe una laana kuu kabisa milele yote kwa kweli View attachment 949338
Huu mradi ni design and build.Hivi hiyo design imetolewa na Merkez?
Ninavyoelewa mimi ni kuwa Merkez ni mkandarasi. Designs za reli pamoja na hizo stations hawakutengeneza wao na hata hivyo hizo designs zimepitia mikondo mingi serikalini kabla ya kuthibitishwa. Kazi ya mkandarasi ni kujenga kama ilivyoainishwa kwenye design na anasimamiwa na consultant.
Wakati mwingine jaribu basi kutumia akili hata kidogo tu, wewe kweli ni mhandis kama unavyosema? Hiiv kwenye usafir kinachoangaliwa ni uhakika wa safari na usalama ama ni marembo? Wewe unapakia hizo station ama unapakia treni?Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.
Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.
Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.
Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.
N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.
Engineer,
Rukuku boy
lamaana mtu usafiri ukike salama mathalani mtu wa Kigoma atumie masaa 9 kufika kigoma badala ya kutumia siku mbiliWakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.